njechele06
Senior Member
- May 21, 2013
- 192
- 36
Hawa watu waccm wanaota sana, wanadhani wataendesha nchi kwa vitisho na ugangwe, kweli karne hii unaletea wananchi ugangwe, unawaletea walipakodi ..watu wanaovuja jasho lao kukushibisha wewe Nchimbi na serikali yako, na yule raisi wako kama kipepe, hivi kweli mtaweza na vitisho hivi katika karne hiiii?
Kweli aliye zoe vya kunyonga vya kuchinja hawezi.
Watoto wetu tutawaambia haya, wasikubali kuonewa hata kidogo na serikali ya ccm, na wawaambiae watoto wawatoto hayo.
Hili ndo tatizo la viongozi wetu,la kuamini volikano mfu haiwezi lipuka.hakika ccm na serikali yake hili la gesi litawavua nguo kama mtakimbia kivuli chenu,bila ya kukubali Kuwa the whole meagre gas process is fraud na kuacha propoganda eti kuna watu wana back up wanamtwara hii ni laana kwenu.