Ujumbe h/mashauri NEC - CCM rafu zaendelea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe h/mashauri NEC - CCM rafu zaendelea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by IBRAAH, Oct 2, 2012.

 1. I

  IBRAAH Senior Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katika mchakato wa uchaguzi unaoendelea katika chama cha mapinduzi ccm mkoani mara wilaya ya msoma yasemekana baadhi ya wagombea wamemwaga fedha kama njugu(RUSHWA) ili wapitishwe kwenye ujumbe.

  Akiongea na ITV mmoja wa wagombea amesema fedha na wengine walitekwa na silaha za moto kitu ambacho kiliwafanya wapiga kura kuogopa vilevile amesema anampango wakumwandikia barua katibu mkuu wa ccm taifa ili kupinga matokeo na ansema licha ya kuwepo TAKUKURU lakin ruswa ilikuwepo na hakuna walichofany
  sou:itv
   
 2. M

  Magesi JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawa majambazi ni lazima wang'oke wamefanya nchi shamba la bibi
   
Loading...