Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,446
- 8,082
Kindly i wish to know.
Umeng'amua hilo tu?Ujumbe uliopo ni kwamba hizo ni Picha za rangi ila Mickey Mouse na panya mwenzake wao ni black and white
Then?Namshikia mtu kiti cha kwanza.
Atakuja kuchangiaThen?
🙏🙏thanks mkuu.Fake life ina wafuasi wengi kuliko real life.
Umetisha!Maisha ya Instagram/Bongomovie ni Popular.
Maybe huna akili.Katika.maisha sipendi.mitihani.
Sasa kama huu ni mtihani si tayari nimeshafeli.
Huku Daudi anamvizia Goliath na huku betri kubwa na ndogo and at the end katuni na panya halafu naambiwa nigundue kitu. Kaaaazi kwelkwel
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Fake life ina wafuasi wengi kuliko real life.
Hapo inaonesha uhalisia wa sasa katika mitandao ya kijamii
Yani ikiwa fake utaambulia likes yingi,comments nyingi na followers wengi kuliko ukiwa real.
Ukiwa real hutaambulia kitu.
Mfano halisi ni mastaa..hebu muone gigy money instance halafu kutana nae nyumbani kwake akiwa anafua..ni tofauti kabisaa.sasa giggy akiacha kupretend swaga za kishua akanza kutupia kasuka twende kilioni ,mweusi kapauka bila make up,bila filters ni nani anahangaika kumfollow..akaone nini??
In social networks being fake pays more than being real!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuachia we mwenye akiliMaybe huna akili.