Ujumbe Gani Huu?

Who cares if I at all am entittled to ask?
 
Kaaazi kweli kweli hii dunia hii kila kukicha ina kituko kipya khaa sasa kama ni bachelor inatuhusu nini sisi. Bado kidogo utaona flana zimeandikwa , "Shame on you men I'm married do not disturb "
 
Huyo jamaa mbona kama shoga la pale uhuru peak kinondoni?
Bachelor hatambi
 
sasa alitaka wasichana ndio waanze kumtongoza ili wamuwowe? kama he's still a bachelor at this age, it is SHAME ON HIM--strictly, not on girls!
 
cha ajabu utakuta kaongozana na msichana halafu wamekumbatiana. Mbaya zaidi mpenzi wake anamsifia amependeza
 

bachelor ya nini sasa??

angesema kabisa kama ni M.D, Agriculture, animal science, public health, logistics and transport, education, accountancy, economics, finance, architecture, electrical and mechanical engineering n.k!

labda alikuwa na lengo la kutafuta Masters kwanza ndio awapate hao girls alioandikia ujumbe!!

shame on you girls!!! ujumbe unaeleweka kabisa!!

teh teh!!
 
Kwa faida ya nani,toa shobo zako
 
pengne hajui hata hayo maneno yanamaana gani
 

Bachelor ya usingle...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…