popiexo JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 742 Reaction score 184 Mar 15, 2012 #1 Nimejaribu kutafakari ujumbe uliopo kwenye cartoon hii nimechemsha, sijui alitaka kutoa ujumbe gani?
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,411 Mar 15, 2012 #2 Uraisi ni kitu kigumu.
Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 1,996 Reaction score 618 Mar 15, 2012 #3 Mhhh Giza tupu ngoja tuwasubiri wajuvi
CAMARADERIE JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 4,419 Reaction score 1,929 Mar 15, 2012 #4 Tunda lenye miiba huliwa kwa kumenywa kwanza.......huyu kalimega zimazima na kumeza miiba...........miiba ni sumu.....Urais ni kama hili tunda
Tunda lenye miiba huliwa kwa kumenywa kwanza.......huyu kalimega zimazima na kumeza miiba...........miiba ni sumu.....Urais ni kama hili tunda
popiexo JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 742 Reaction score 184 Mar 15, 2012 Thread starter #5 CAMARADERIE said: Tunda lenye miiba huliwa kwa kumenywa kwanza.......huyu kalimega zimazima na kumeza miiba...........miiba ni sumu.....Urais ni kama hili tunda Click to expand... Nimekupata ina maana Jamaa kameza na miba yake, itakuwa inamchomachoma.
CAMARADERIE said: Tunda lenye miiba huliwa kwa kumenywa kwanza.......huyu kalimega zimazima na kumeza miiba...........miiba ni sumu.....Urais ni kama hili tunda Click to expand... Nimekupata ina maana Jamaa kameza na miba yake, itakuwa inamchomachoma.
ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,141 Reaction score 951 Mar 15, 2012 #6 Huoni miaka yote nane (8) ya Utawala wake JK Kala kiduchu tu? Urais mibamiba tupu...ajute kuufikiria!!
Huoni miaka yote nane (8) ya Utawala wake JK Kala kiduchu tu? Urais mibamiba tupu...ajute kuufikiria!!