ujumbe alio nitumia mpenzi wangu leo

Kwenye mapenzi ni lazima ujikane na ujitwishe mzigo wako,ungemwambia mapema kuwa pesa na mitoko itazingatiwa sidhani kama angekutumia ujumbe muda woote

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Sasa kama wako anakuzidi kipato na kila hali kimaisha kuna ubaya gani yeye akichukua jukumu hilo..??
 
Mesej senti

Hizi message wanazotuma ziendane na vitendo
 
Hiii nimeipenda unakuta kijana ana girlfriend then hamjali kwa chchote,sio salon,mavaz hata pocket money.Anajisifia kabisa dem wangu haniombi hela wala simpi hata mia,aaah wapi lazima kuna mtu anakusaidia hizo huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…