Ujue wewe una mikosi!

Unajipanga kuwekeza bagamoyo kwa kulipa fidia za viwanja na kupanua bandari ya bagamoyo wakati gesi haitoki mtwara
 
1) ushamzalilisha sana konda na kumkejeli , anadai nauli yake pochi umeisahau nyumbani

2) Ushamfukuzia sana binti, siku anakuja geto kitu haisimami ingawa si kawaida yako
3) unamsema bosi wako kwa wafanyakazi wenzako, unageuka, bosi alikua nyuma yako anakusikilizia
4) umetoka out na mrembo, unamwambia aendelee kunywa unaenda ATM mara moja, ukifika ATM system down
 

Hizi mbili za mwisho ni utata sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…