Ujue umihimu mkubwa wa kupima upepo wa tairi za gari lako

Asante kwa elimu nzuri!!!pia katika ilo tairi kuna utaona imeandikwa namba kama izi 2012.ujue n mwaka wa kutengenezwa.na kawaida tairi huwa ina..expire baada ya miaka minne.so zingatien muda wa kutengenezwa unaponunua.ndio sababu kuu ya kubast kwa tairi ukidhani ni mpya kumbe muda wake umeshaisha

Miaka minne ikiwa haitumiki.
 
Yaan iwe inatumika na miaka minne tu...na ikiwa umeiweka darini au stoo ikifikisha miaka minne kwisha usifunge kabisa n hatari kwa maisha yako.la cvyo wape wa mkokoten
 
asante kwa darasa. mimi nipo huku Tabora sasa barabara za huku ni vumbi hali inayo pelekea kutokea kwa vituta vidogo vidogo vyembamba. sasa kuna mtu anaendesha gari upepo wa mbele unakuwa 15 na nyuma 25 kikubwa anasema akiweka upepo mwingi gari inakuwa haitulii. sasa je ni madhara yapi anayo weza kuyapata kwa upepo huo anao weka kwa yeye na gari yake?
 
Kama anatumia speed ndogo hatapata mazara yeye ila tyr yake itakatika katikati hasa kasa kama ni tubeless. Kama ni ya tube itasugua tube na kupasuka.
 
Back
Top Bottom