Aliekuwa spika wa bunge ambae amemaliza muda wake Bwana Samwel Sita na ambae anajinadi kupambana na ufisadi nae ni mmoja wa mafisadi ambao walipopata nafasi hawakusita kuchukua rushwa katika kandarasi mbalimbali.
Alipokuwa waziri wa Mawasiliano na Ujenzi katika serikali ya awamu ya kwanza alihusika na ulaji rushwa katika kandarasi mbalimbali za ujenzi
Mojawapo ni ujenzi wa barabara ya Morogoro - Dodoma. Huyu bwana aliafukuzwa uwaziri na Mwalimu Nyerere baada ya kuchuwa rushuwa ya Matrector ambayo yalikuwa na harrow, planter na combined harvester kutoka kampuni ya ujenzi ya Brazili ambayo ilipewa kandarasi ya kujenga barabara hiyo. Mwalimu alikuwa halei ufisadi
Ufisadi mwingine aliufanya kule CDA

Mwaga data basi.!
Sikuelewi mkuu, harrow, planter na combine harvester kwenye ujenzi wa barabara ?
Hiyo Office yakwake au ya Mbunge? that means mbunge yeyote anaweza kuitumia for the Fututre
Sikuelewi mkuu, harrow, planter na combine harvester kwenye ujenzi wa barabara ?
imeandikwa na edward lowassaAliekuwa spika wa bunge ambae amemaliza muda wake Bwana Samwel Sita na ambae anajinadi kupambana na ufisadi nae ni mmoja wa mafisadi ambao walipopata nafasi hawakusita kuchukua rushwa katika kandarasi mbalimbali.