Hamjambo waungwana, nimeona nianzishe Uzi maalum kwa ajili ya kufundishana aina ya mimea na matumizi yake. Mimea mingi ilishafanyiwa utafiti na kuandikiwa kila kitu, lakini maandishi hayo yameandikwa kwa lugha ya Kiingereza hivyo wasiojua Kiingereza Ni VIGUMU Sana kujua kilichoandikwa.
Nitaanza na mimea michache ambayo ninayo bustanini kwangu - Posh Garden, hivyo kama na wewe unayo mimea unayojua matumizi yake - ungana nami kuelimishwa jamii. Nawasilisha
Kitaalamu, mimea Ina majina yanayotambulika kisayansi - botanic names, hivyo ili kuifuatilia mimea na matumizi yake Jambo la msingi Ni kujua botanic name ya mmea husika ndo uweze kusearch unavyoongelewa.
Nitaanza na mmea unaitwa phyllantus amarus
View attachment 1937069
Unaitwa phyllantus amarus, wenzetu ulaya wanauheshimu Sana huu mmea kwenye tiba, homa ya ini haifui dafu. Hapa bongo wamama wenye matatizo ya kutoshika mimba umewasaidia Sana. Tembelea Posh Garden ujifunze aina mbalimbali za mimea na faida zake. Tupo jijini Mwanza.
Nakuja na mmea mwingine unaitwa comfrey
View attachment 1937091
COMFREY NI NINI?
Huu ni mmea wa ajabu sana ambao matumizi yake ni mengi mno. Mmea huu uko Kama spinach, majani yake yanafanana na majani ya tumbaku. Hata Tanzania wengi wanaijua Kama sidifo, lakini jina lake la kitaalam ambalo linatumika ulimwenguni kote ni comfrey. Baadhi ya matumizi yake ni Kama ifuatavyo-
1. Hutumika Kama mbogamboga za majani na inao uwezo MKUBWA wa kuongeza UBORA wa Kinga za mwili kwa mwanadamu.
2. Paste yake hutumika kutibu vidonda vya aina yoyote.
3 l. Chai yake hutumika Kama mbolea ya maji (organic foliar fertilizer) ambayo mbali na kuwa mbolea pia hutumika Kama booster na husaidia kuua wadudu kwenye mimea MINGINE..
4. NI chakula kizuri Sana kwa mifugo Kama sungura, kuku, mbuzi, Ng'ombe NK.
Kwa mahitaji ya Miche ya comfrey, wasiliana nasi kwa SIMU au WhatsApp NAMBARI +255 655 533 543.
Tupo Posh Garden
Mtaa wa Mbugani,
Kata ya Kishili,
Wilaya ya Nyamagana,
Jijini Mwanza,
Nchini Tanzania.
Kinachofuata ni mmea maji unapitwa Azolla Pinnata.
View attachment 1937159
Azolla INALIPA
KARIBUNI kwa mbegu...
Kilo sh 15,000
Elimu bure.
SWALI: HIYO AZOLLA NDIO NINI?
AZOLLA!!!! AZOLLAA!!!
Azolla ni mkombozi wa mfugaji...
Azolla ni malisho bora, salama, yenye virutubisho vingi na kubwa zaidi yanakupunguzia gharama za malisho wewe mfugaji hadi nusu ya gharama au zaidi.
Kumbuka gharama kubwa ya ufugaji ni malisho...
Azolla inakusaidia katika hilo hivyo utaongeza faida.
Yaani azolla ni kama uchukue mashudu uchanganye na dagaa uweke mifupa uongeze na dcp bila kusahau chokaa na premix.
Azolla ni chakula kamili kwa mifugo aina zote. Yaani kuku, samaki, ng'ombe , bata, mbuzi...Yaani aina zote.
Faida za azolla.
1. Inapunguza gharama za malisho kwa zaidi ya nusu
2. Inaongeza ukuaji kwani ina virutubisho vingi zaidi.
3.Inaongeza uzalishaji mfano Maziwa au mayai yanaongezeka.
4.Mayai yanakuwa njano halafu organic( utauza sanaaa)
Azolla unaweza ukapanda kwenye bwawa la kujenga ama nailoni lakini hata kwenye beseni inafaa.
Uzuri wa azolla mbegu utanunua mara moja tu...
Karibu kwa mbegu...
Kilo moja ni sh 15,000 tu.
Tunapatikana Mwanza jijini ...
Kama uko mkoani unatumiwa kwa uaminifu mkubwa kabisa.
Ukihitaji maelezo zaidi kuhusu azolla nicheki watsup 0655533543 nakutumia audio usikilize.
Azolla kwa ufugaji unaolipa. Tuache kufuga kwa mazoea.
Mt. Baika (0655533543)
Tuendelee ama tusiendelee?