Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,581
- 2,937
Vipi unahitaji chupa ya maji hapo mkuu?Kama mojawapo ya sera na ahadi za CCM ilikuwa ni kumleta Mh. Barack Obama, then mmejaribu mmeweza.Lakini ukiangalia kwa undani, Mwenyekiti wa CCM ANAPODANGANYA umma kuwa kwa sasa Tanzania inatumia uwiano wa kitabu kimoja kwa mwanafunzi mmoja, bado ni shida.
Aidha ni mnafiki, au hajui nchi ilivyo (kutokana na kafanya ziara za mara kwa mara tofauti na mwenzake Rais Barack Obama).
Pili gharama za ujio, maandalizi, kuahirishwa na kusitishwa kwa shughuli mbalimbali za kitaifa, kijamii bado unasema eti mnakuwa kwa kasi sana kiuchumi!!Kwa uzalishaji upi?