UJIO WA SAMSUNG GALAXY S8, NINI KIPYA?

UJIO WA SAMSUNG GALAXY S8, NINI KIPYA?

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
456
Reaction score
175
Baada ya misukosuko ya Toleo lao jipya la simu yake ya Galaxy Note7, kampuni ya Samsung inajiandaa kutoa simu mpya ya Galaxy s8 mapema mwakani kati ya January au february 2017.

Tetesi zinasema simu hiyo itakuwa na
  • A dual-lens camera
  • A 30MP rear camera
  • An 8MP front-facing snapper
  • A 4200mAh battery
    • A 3GHz Exynos 8895 processor in some regions
    • A 3.2GHz octa-core Snapdragon 830 chip in the US
    • 6GB of RAM
    • 4K screen
Wadau tudadavulieni hizo kitu kuna mpya au mbwembwe tu.
Pia taarifa zinasema kwa mwaka 2017 wanataraji kutoa Galaxy S8 Edge, and Galaxy Note 8.
 
Ganda la muwa la jana, chungu kaona kivuno.
 
zimekaa za uongo uongo hizo specs, kwenye note Samsung haeki battery kubwa hivyo sembuse s series?
Mkuu Pengine ndo wanakuja na teknologia mpya huwezi kuwa na simu tented specifications tajwa hapo alafu betri iwe na uwezi mdogo
 
Baada ya misukosuko ya Toleo lao jipya la simu yake ya Galaxy Note7, kampuni ya Samsung inajiandaa kutoa simu mpya ya Galaxy s8 mapema mwakani kati ya January au february 2017.

Tetesi zinasema simu hiyo itakuwa na
  • A dual-lens camera
  • A 30MP rear camera
  • An 8MP front-facing snapper
  • A 4200mAh battery
    • A 3GHz Exynos 8895 processor in some regions
    • A 3.2GHz octa-core Snapdragon 830 chip in the US
    • 6GB of RAM
    • 4K screen
Wadau tudadavulieni hizo kitu kuna mpya au mbwembwe tu.
Pia taarifa zinasema kwa mwaka 2017 wanataraji kutoa Galaxy S8 Edge, and Galaxy Note 8.
Ngojea tuone itatokaje
 
Mkuu Pengine ndo wanakuja na teknologia mpya huwezi kuwa na simu tented specifications tajwa hapo alafu betri iwe na uwezi mdogo
Mkuu kwa simu yenye kioo around 5 inch kueka battery ya 4200mah kutaongeza unene wa simu, sidhani kama sammy atafanya hivyo na kuharibu design. ila tusubiri tuone
 
Back
Top Bottom