Ujio wa obama: Mashule Dar, kufungwa

Ujio wa obama: Mashule Dar, kufungwa

kp28062013.jpg
 
hapa airpot ni hatareeeeeeeeeeeeeee, kila mtu ni obama tuuuuuuuuuuuuuuuu, nyomi watu kibao
 
Bora wamefunga, watoto wangeteseka kwenye foleni mno.
Ukizingatia wanatoka mida ya saa tisa
 
shule mbona zilishafungwa kitambo, akili za watanzania walio wengi ni hovyo sana wakiongozwa na Rais wao Janga la kitaifa.
 
Back
Top Bottom