Rais wakati anavunja bunge alimuita mheshimiwa,Mkuu huyo jamaa unamwita mheshimiwa!!!??????
Rais wakati anavunja bunge alimuita mheshimiwa,
unataka sisi wananchi tumuiteje?
na vyombo vya habari vyote vinamuita waziri mkuu mstaafu
na ana haki zote wanazopata,kitu gani kinamzuia kuitwa mheshimiwa.
lakini pia ikumbukwe kwamba wabunge wote na madiwani wanaitwa waheshimiwa
na yeye ni mbunge,kwanini asiitwe mheshimiwa?