Ujio wa lowassa mbeya

Ujio wa lowassa mbeya

Joined
May 20, 2014
Posts
31
Reaction score
8
wajavi habar,tunaomba kujua mh Rais mtarajiwa Endwad Lowassa atafanya mkutano lini hapa mbeya mjini,tulijua Leo jumamos,lakin nasikia ratiba imebadirika ,naomba asaidie anae jua,maana mbeya tumemusi
 
Bora ihairishwe, maana nimesoma sehemu watu washapandikizwa kumzomea El. Lakini watakipata kilichowapata vijana wa masaburi
 
Back
Top Bottom