Ujio wa kamanda Lissu, Mbowe atua Belgium kuweka mambo sawa

Halafu huyo jamaa wa kwenye HardTalk namufahamu siku nyingi, na ninamuogopa muno. Huyo anaweza hata akawa ni CIA, very intelligent, and strictly smart upstairs!
Kama ungemuona wa huko nyuma anaitwa Tim Sebastian ungemuogopa zaidi. Pia kuna mtu anaitwa Jeremy Paxman alimfanya Michael Howard akose u Prime minister kwa maswali yake. Ukikubali kufanyiwa Interview na hawa watu uwe umejiandaa. Tatizo la Lissu pale ambapo alitakiwa awe mkweli akaweka uongo akijua kabisa jamaa wana researchers wazuri. Hawakurupuki kukuliza maswali mengine wanakutega. Hii nguli ilimchemsha Rais Mkapa mpaka akatoka povu mwaka 2001
 

Attachments

  • _39455541_timseb1.jpg
    _39455541_timseb1.jpg
    8.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom