Ujio wa kamanda Lissu, Mbowe atua Belgium kuweka mambo sawa




Mh. Freeman Mbowe mwenyekiti wa chama Taifa ametua Ubelgiji kuratibu ujio wa Mh. Tundu Lissu Nchini shoneni suti.

Share zaidi

Badala ya kwenda jimboni kwake anaenda kunywa pombe kwa Lissu mkimbizi then wanyama wa Serengeti wanashangilia kama mazuzu! CCM itatawala milele!!
 
Mzee issue ya ACACIA isikie tu juu ni ngumu kuliko unavyofikiria, anayenunua na anayenunuliwa ni huyohuyo mmoja.

This is the best post of the Accacia/Barrick/GoT saga so far ... Mkuu umemaliza kila kitu .... asante sana
 
Mh Tundu lissu angekuwa Chama tawala tungepata faida kubwa sana kama taifa ila kwa huko aliko ni sifuri kabisa.
Yani mh zitto angekuwa ccm
Mh lissu ccm tungekuwa na serikali imara sana hata kwa bara zima LA Africa ila nje ya hapo mmmmhhhh
 
Huu uzi mbona ni kama umesusiwa na makamanda vile. Bado haujapindua ukurasa wa tatu tangia leo saa tatu asubuhi?
 
Badala ya kwenda jimboni kwake anaenda kunywa pombe kwa Lissu mkimbizi then wanyama wa Serengeti wanashangilia kama mazuzu! CCM itatawala milele!!
Mgonjwa mwenzio kakupongeza👹💩💩
 
Back
Top Bottom