Ujio wa Iphone 6 November mosi

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
499


Kampuni matata ya kutengeneza vifaa vya electronic ambayo imejipatia umaarufu mkubwa kwa kuunda simu za iphone, ipad, ipod hata kompyuta na television, (apple) inatarajia kuiweka sokoni simu mpya yenye mfumo wa ios iphone 6.

Simu hiyo ambayo inasemekana kuwa ya kisasa zaidi inatarajiwa kuwa sokoni novembar 1 mwaka huu, cm iyo ambayo itakuwa na uwezo wa kujijibu yenyewe kama muhusika hatokuwa karibu nayo ,kwa hapa Tanzania inatarajiwa kuuzwa tsh milioni 6 , haya jamani wazee wa iphone tazama picha za kitu iko!!!
 
Kujijibu yenyewe!? Au kujibu yenyewe, kama ni kumjibu mpigaji ina tofauti gani na ile ya "namba unayopiga haipokelewi"
 
Mhhhh, ngoja tuisubiri ila 6m(>$3.5K) ni pesa nyingi sana.

Uzuri ni kwamba wenye uwezo wa kusubiri tutakuja kuinunua kwa <$1K kabla ya November 2015.

Ngoja tuendelee kucheza na hizi hizi za 5 series kwanza!
 
Mhhhh, ngoja tuisubiri ila 6m(>$3.5K) ni pesa nyingi sana.

Uzuri ni kwamba wenye uwezo wa kusubiri tutakuja kuinunua kwa <$1K kabla ya November 2015.

Ngoja tuendelee kucheza na hizi hizi za 5 series kwanza!
ila mzeeni cm ya ukweli iyooo
 
Fikra za Steve Jobs zitaichukua dunia miaka mingi kusahaulika..Alale pema peponi Jobs. Nitatumia tuu kama ninavyotumia MacBook pro,,iphone 5 na pad kama hivi. Namkubali jobs nitamuenzi kwa kununua kazi zake. "I want to put a ding into the universe"- Jobs
 
pesa huna tu mkuu!!
hana pesa uyooo hana lolote alafu anasema tecno,wakati watu tunazungumzia iphone6 yaani man is hidebound" chukua iphone 6 kitu kinataka kulingana na bei ya gx100 au kiko bei sawa na vitz
 
To fashionista tycoons. .and tech gurus..
 
Ngoja nisubiri nimchukulie dogo.
 

Milioni 6 napata kiwanja ekari zaidi ya 10 na nyumba najenga mkuranga.watupishe .
 
Na kuna wabongo watakua nazo, uzuri iPhone zina security ya kutosha.
 
Hivi blackberry kaishia wapi nakumbuaka alikuwa juu yawote auimez?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ