Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Unachekesha kweli wewe eti Smile ni 2.5GMtoa mada ndiye angeheshimu thread yake mwenyewe kwanza. 4G? Never in Tanzania not in 60 years. Smile kwa kushirikiana na TCRA Njaa waliuhadaa umma eti wanatoa 4G Wakati huduma yao ni 2.5G with simulated 4G ie placebo
Unachekesha kweli wewe eti Smile ni 2.5G
Wana jf heshima zanu, leo katika pita pita yangu kwenye net nimesoma uzinduzi wa 4g tigo hapo bongo katika maeneo ya mlimani na masaki, walio katika maeneo hayo na wameshatumia hiyo service watujuze kuhusu performance yake????
Mimi naona tigo wangefunga 3g kwanza ktk minara yao yote mijini na vijijini kabla ya kujitanua kwenda 4g.hapo dar penyewe internet ktk mtandao wa tigo ni mwendo wa kobe, any way ngoja tuwasubiri
Guys jitahidin kuheshim thread za watu...kama hamkua na cha kusema ni bora mngekaa kmya kuliko kuharub thread..
Mkuu umeanza lini kuwanyanyapaa mataahira...kumbuka kuwa ni wanajamii wenzetu hivyo tunapaswa kuheshimu maoni yao hata kama wana hitirafu vichwani....THINK BIG....
Mkuu tigo pekee kijijini kwetu Machame Nkuu Sinde ndio wana 3G na speed ya ukweli.
Kwa upande wa kaskazini tigo wamewekeza sana, isitoshe waangalia wepesi wakurudisha gharama zao za uwekezaji wa hiyo mitambo ya 3G kumbuka siyo vijiji vyote vinaweza kupata hiyo huduma kwani baadhi ya vijiji vingi havina uneme ukipeleka mtambo wa 3G si ni hasara mkuu.
Mkuu nikusahihishe kidogo, hatuwaiti taahira tunawaita watu wenye uhitaji maalum, people with special needs kwa lugha ya wenzetu....
Nmekupata mkuu...Mkuu umeanza lini kuwanyanyapaa mataahira...kumbuka kuwa ni wanajamii wenzetu hivyo tunapaswa kuheshimu maoni yao hata kama wana hitirafu vichwani....THINK BIG....
Mkuu Kumbe wewe jirani yangu hapo Nkuu sinde barabara ya makoa.... Kuifo enda
Duh. Mko nyuma sana. Unga Limited Arusha watu wanatumia 7G tangu mwaka 2009
Tritel
Blaza umetoroka milembe au?
Acha uongo mbona mm niko hapa kwa luka nakula chips huku naperuzi jf kwa kutumua tigo?
Sijui kama ninekupata vizuri ila
sasa kama inacheza E mpaka H+ si maana yake ume permeat simu iwe inatumia both 2G na 3G sidhani kama ni tatizo la minara tena bali ni maamuzi yako...
The only way nikuweka 3G only basi ila ukiweka 3G/2G Auto ndo majanga yake hayo
Basis huku 2nduma 2na2mia 100G
Umenipata vizuri, na ndo maana naona afadhari niweke auto kuliko kuweka 3G, maana kuna hatihati ya kutopata network iwapo nitaweka auto, ndo kisa cha kusema ni bora hata wakaboresha 3G kwanza isiwe fluctuate ndo walete hiyo 4G, maana saa nyingine unaweza ukawa umeweka 3G peke yake na ikawa inasoma 3G lakini ukawa hupati network
Mm nafikiri mnara unakua na both Generations hivo hata waki upgrade vipi uki permeat device yako itumie 2G itatumia tu...Hivo ku upgrade hakuwazuii wale watumiaji wa simu wanao set 2G kwenye simu ku minimize battery use...2G itabaki tu na njia rahisi ya kuikwepa lazima uset 3G only
Na kwa experience yangu mm nkiweka AUTO inabaki E mda mrefu kwenye simu ila nkiweka 3G only wala sipotezi connection hata siku moja nabaki kucheza tu 3G,H,H+