Ndalilo JF-Expert Member Jan 30, 2013 2,937 6,294 Feb 1, 2013 #1 Nimekuwa mfuatiliaji wa muda mrefu wa jf,sasa nimeamua kujiunga nanyi wandugu,natumai nami nitafurahia jamii hii. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nimekuwa mfuatiliaji wa muda mrefu wa jf,sasa nimeamua kujiunga nanyi wandugu,natumai nami nitafurahia jamii hii. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Tetra JF-Expert Member Oct 5, 2012 1,520 764 Feb 1, 2013 #2 Karibu sana,,ukiwa hapa uvumilie kukosolewa.