grandMullah23m
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 248
- 339
Ukizifuata ukirudi anasema sili mbona umechelewa sanaUko Gongo la Mboto, unaagizwa chips za kwa mpemba wa Kimara Bonyokwa!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Usipokua kauzu utazifuata kweli.
Unaamua kuzitafuna mwenyewe kwa hasira. Ukimaliza anaanza kulia, anataka chips zake!Ukizifuata ukirudi anasema sili mbona umechelewa sana
Mimi naendaga tu nje nazuga narudi nasema bado hawajamenya viazi[emoji18][emoji23]Ukizifuata ukirudi anasema sili mbona umechelewa sana
Najitahidi sana sahv mpaka kanisani naenda...ila Sasa hapa anataka niache bia...Yani hapo kidogo pagumu.Acha kufanya mambo yanayomzingua
Uko Gongo la Mboto, unaagizwa chips za kwa mpemba wa Kimara Bonyokwa!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Usipokua kauzu utazifuata kweli.
Wakulungwa...Kwa Nia njema tu,
naombeni jinsi ya kukabililana na stress za mama kijacho maana naona Sasa kama kamtu kana maksudi.
Uzalendo unakuwa mgumu ndio kwanza mwezi wa tatu[emoji119]
Ni makusudi matupu. Ukiniambia eti uko na hamu ya kunusa moshi wa gari, itabidi tu nikutoe wenge hata kwa makofi mawili.[emoji23][emoji23]hivi mnajua craving zilivyo wazee??
Hatufanyi kusudi mjue
Unaamua Kwenda tena kwa Mpemba Bonyokwa kufuata Chipsi zake mara paap saa nane usiku,anakwambia mbona Asubuhi ishafika nataka Chai...!Unaamua kuzitafuna mwenyewe kwa hasira. Ukimaliza anaanza kulia, anataka chips zake!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
...ila Sasa hapa anataka niache bia...Yani hapo kidogo pagumu.
Hawajui tuu hawa yaani mpaka unahisi kuumwa ukikikosa unachotamani. Nishawahi tamani nyama usiku ikabidi mdogo wangu achinje kuku saa 5 usiku nikapika ile kuonja tuu nilijisikia raha kama nimeona ufalme wa mbingu.[emoji23][emoji23]hivi mnajua craving zilivyo wazee??
Hatufanyi kusudi mjue
Yani bia mbili tu Tena nanywea nyumbani...bado mtu anataka niache...hivi viumbe hivi hawajui tunamsongo wa mawazo...Hahaha...
Mzee baba kwani kuna shida gani endapo hutokunywa bia?