ukiwa unalog in ndg unakutana na safu ya home pale inakupa mada mbalimbali kama siasa ,mahusiano...n.k sasa sijui ww uoni...au?sasa nani mjinga ww au wana jf? halafu ujinga unapokuwa point A kumbuka unapokuwa point B sio ujinga kwao ndg..tafakari kwanza usilopoke tu..kumbuka mitazamo iko tofautiiii...ujui kutofautisha kat ya A na B..poleeeeeeeeee