Wakina Nyalandu ndio lilikuwa genge la Kikwete lililokuwa dalali wa kuuza maliasili ya nchi yetu, hawa ndio wanatakiwa kuwajibishwa kwa kueleza hizo mali walizojilimbikizia walizipataje!!

nawashukuru sana kwa udalali wao maana mishahara tuliongezewa kila mwaka, wa vyeti feki waliendelea kufanya kazi pamoja nasi na kuzihudumia familia zao. utekaji haukuwepo. wote tuliweza kulipa kodi ya makontena.
Aliyepo kaondoa wafanyakazi feki wengi lakini mishahara kashindwa kuongeza, madaraja watu hawapandishwi. kutekana iimekuwa kawaida. wachache wanasamehewa kodi tena kubwa kuliko umri wao. Bora ya akina nyarandu kuliko akina DAB