Duh hii simchezoHii nchi mabadiliko ya kweli kufikiwa ni mpaka iundwe
black OP ORGANIZATION, iwe na weledi kuzidi vyombo vyetu vya dola halafu ianze kudea na yeyoye anayeleta ujinga kuelekea mabadiliko ya kweli.
Kule mbeya uchaguzi wa sirikali za mitaa, yule mwenyekiti aliyeiba kura akashinda wakamuua huko sidhani tena kama utatokea wizi wa kura.
Vyuo vikuu vya sasa havina tofauti na madarasa ya chekechea. Vinazalisha vijana wengi wa hovyo kabisa. Uwezo wa kujadili hoja kwa tafakuri ya juu hawana kabisa.Nikikumbuka mijadala ya Mwl Nyerere pale udsm miaka Ile juu ya umajumui wa kiafrika na nikiangalia leo wasomi WA vyuo vikuu wanvyotumika kama chawa wa wanasiasa kupitishia agenda zao kwa faida yao aibu naona Mimi.
Hivi mwanafunzi wa chuo kikuu anashindwaje kutambua ubaya wa hii katiba? Mwanafunzi wa chuo kikuu anashindwaje kutambua kwamba kukubali kuingia kwenye uchaguzi na katiba hii hii ni kuisaidia ccm kubariki maovu yake ya miaka yote. Kwamba hawa wanafunzi WA vyuo vikuu wamesahau leo jinsi mwanafunzi mwenzao AKWILINA AKWILIN alivyouwawa na policmm kisa ni haya ha mambo ya uchaguzi? HAKIKA UJINGA WETU UMEPANDA MPAKA KWENYE VYUO VYETU VIKUU. Hii ni hatari kubwa sana kwa ustawi wa taifa.
MVUNJA NCHI NI MWANANCHI.
Km siasa imekushinda nenda kalime, wanafunzi wa vyuo vikuu siyo mbeleko ya kuwabeba wanasiasa wale wameenda kuchimbua maarifa. Ulitaka wagome au? Sheria ya uchaguzi tangia ibadilishwe haijatumika hata mara moja mmeshaanza kulalamika, nyie nyumbu mna jambo lililojificha ni kuharibu amani na utulivu wa nchiNikikumbuka mijadala ya Mwl Nyerere pale UDSM miaka Ile juu ya umajumui wa kiafrika na nikiangalia leo wasomi WA vyuo vikuu wanvyotumika kama chawa wa wanasiasa kupitishia agenda zao kwa faida yao aibu naona Mimi.
Hivi mwanafunzi wa chuo kikuu anashindwaje kutambua ubaya wa hii katiba? Mwanafunzi wa chuo kikuu anashindwaje kutambua kwamba kukubali kuingia kwenye uchaguzi na katiba hii hii ni kuisaidia ccm kubariki maovu yake ya miaka yote.
Kwamba hawa wanafunzi WA vyuo vikuu wamesahau leo jinsi mwanafunzi mwenzao AKWILINA AKWILIN alivyouwawa na policmm kisa ni haya ha mambo ya uchaguzi? HAKIKA UJINGA WETU UMEPANDA MPAKA KWENYE VYUO VYETU VIKUU. Hii ni hatari kubwa sana kwa ustawi wa taifa.
MVUNJA NCHI NI MWANANCHI.