jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,902
Siku ambayo nitapewa nafasi na mwenyezi mungu niseme nani unataka akusamee ambae hataki kukusamehe ningemwambia anirudishie mpenzi wangu wa kwanza kabisa aitwae clara,
maana ujinga wangu ndio ulifanya nimpoteze ,nisamehe sana clara wangu
maana ujinga wangu ndio ulifanya nimpoteze ,nisamehe sana clara wangu