‘Ujinga’ wa CHADEMA na Katiba Mpya

‘Ujinga’ wa CHADEMA na Katiba Mpya

Wewe ndio hata hujui kinachoendelea nchi hii.Wakati mfumo wa vyama vingi unaingia nchini kwetu Mwanzoni mwa miaka ya 90, wananchi wote wa Tanzania waliambiwa wapige Kura na kutoa Maoni Yao kwamba, mfumo wa vyama vingi viruhusiwe Tanzania au tuendelee na mfumo wa chama kimoja Cha CCM? Wananchi wakaamua(kwa ujinga wao au kwa kutokujua umuhimu wa vyama vingi) kwamba Tuendelee na mfumo wa chama kimoja.

Nyerere kwa sababu Yeye alikuwa na akili, Akaona Hawa Wa-Tanzania wangu Ni mazuzu. Hawajui umuhimu na faida ya vyama vingi kwenye siasa. Kwa kuwa Yeye alikuwa Ni Mwenyekiti wa CCM wakati hUO na Mzee Mwinyi alikuwa Rais, Akatumia TURUFU YA UBABA WA TAIFA,akasema na kupitisha kwa nguvu kwamba Tanzania Ni Lazima iwe nchi ya vyama vingi. Vinginevyo isingekuwa Nyerere,Ina maana mpaka leo hii huenda Tanzania ingekuwa nchi ya chama kimoja Cha CCM kisheria.

MIMI NINAAMINI PIA KWAMBA,MAMA SAMIA NI RAIS MWANAMKE MWENYE UWEZO NA AKILI NYINGI KULIKO VIONGOZI WENZAKE WOTE WALIOKO CCM KWA SASA(Ambao wengi Ni wabinafsi na wachumia matumbo Yao na ya familia zao). Huyu mama ndio Nyerere wetu wa wakati huu. Atatuletea katiba mpya ya WARIOBA hata Kama wananchi wengi hawataki kwa sababu ya umbumbu wao.

Mungu wetu Tunakuomba mbariki Rais Mama Samia,mpe Afya njema na maisha marefu Kama ya Yule Malkia Elizabeth wa Uingereza(Aliyekufa hivi karibuni) na Zaidi(kwa mapenzi yako Ee Mungu) Ili aendelee kuwa Baraka kwa mataifa yetu ya TANGANYIKA NA ZANZIBAR.Aminaa.
CCM SYO YA MAMA SAMIA PEKEE ,HATA KIKWETE ALISEMA HATA UWE NA MAPEMBE MAKUBWA KIASI GANI WATAYAKATA ,HATA JPM AMEIACHA CCM INAENDELEA,POLITICAL LEGILTMACY YA CCM SIYO YA MAMA SAMIA PEKEE ,CCM NI DUBUASHA KUBWA,HATA KIKWETE ALIKUA NA NIA NJEMA,ILA ALIGONGA MWAMBA
 
Jamaa ana point sana

Msiwekeze kwenye watu, wekeni mifumo
CHADEMA INATAKIWA KUWEKEZA,MFANO LEO CCM IKITAKA KUKUTANA NA KIONGOZI WA WAFUGAJI KANDA YA ZIWA HAWEZI KUANGAIKA ,NA HATA IKIOMBA MICHANGO YAO NA CHANGAMOTO ZAO CCM HAWATAHANGAIKA,

.HAYA CHADEMA WATUAMBIE WANAKIKUNDI GANI CHA WAFUNGAJI WANACHOKIPAMBANIA KANDA YA ZIWA?

.WAKULIMA WA CCM WANAANZIA NGAZI YA UBALOZI NA WENGINE WAMEJIUNGA KWENYE USHIRIKA,RUZUKU YA MBOLEA YA SERIKALI IKITOLEWA INAWAHUSU MOJA KWA MOJA VIJANA WA CCM , VIJANA WA CHADEMA MUDA MWINGI MNAWAPA PROPAGANDA, MATOKEO YAKE VIJANA WANABAKI MASIKINI NA TEGEMEZI , UCHAGUZI UNAFIKA WANAUZA SHAHADA ZA KUPIGIA KURA,MNASHINDWA UCHAGUZI MNABAKI KULALAMA MMEIBIWA KURA.

.VIJANA WA CCM LINAPOKUJA SWALA LA UCHAGUZI UNASHANGAA HAWA WATU WAMETOKA WAPI?WENGINE HUJAWAHI KUWAONA HATAMIAKA MITANO ,UNASHANGAA NA HUYU YUPO
 
Tatizo la JF kwa sasa ni kwamba imevamiwa na watoto ambao hata hiyo historia ya mageuzi ya kuruhusu vyama vingi hawajui na hawafanyi juhudi zozote za kujua.

6 Pack; Rais Mwinyi akiwa mwenyekiti wa CCM, aliongoza upinzani dhidi mageuzi hayo akitumia vyombo vyote vya dola kuhakikisha vyama vingi haviruhusiwi nchini.

Kamati Kuu ya CCM, viongozi na wananchama wa CCM walipinga mfumo huo mpya wa vyama vingi na walitumia vyombo hivyo vya dola kupambana na wana mageuzi.

Vyombo vya habari kama radio ya taifa na magazeti ya serikali yaliendesha propaganda kali yakiwaeleza wananchi hatari ya vyama vingi.

Mifano ilitolewa ya nchi kama Rwanda ya hatari ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kama mfumo wa vyama vingi ungeruhusiwa ndani ya Jamhuri yetu ya Muungano.

Hali hii iliendelea na wanamageuzi wengi walijeruhiwa na kulemazwa na vipigo vya polisi huku Waziri Mkuu John Malecela akiwafananisha na mchwa wa kukanyagwa tu.

Hadi siku Baba wa Taifa, wakati huo akiwa ni Rais Mstaafu alipowaasa CCM akiwaonya kuwa wasiporuhusu kwa amani wawe tayari kuyaruhusu kwa shari.

Ghafla upepo ulibadilika, CCM walinywea pamoja na asilimia 90% ya wananchi kutotaka mfumo huo kutokana na hila na propaganda za CCM kama chama tawala.

6 Pack, usilolijua ni kama usiku wa giza. CCM ilijengwa katika msingi ua uongo, hofu na ufashisti. Hawakutaka democrasia ya vyama vingi wala Katiba huru ya vyama vingi.

Hadi leo CCM wanaogopa hiyo Katiba kama ukoma kwani hayo madaraka wanaamini ni yao na hawapo tayari kuyaachia hata kwa miaka mia kama wanavyodai.
nadhani tumekubaliana sasa kua ccm ndo baba wamageuzi nchini,hawa ndo wa kuikuza democry,lakini ikumbukwe hata baada ya uhuru nchi yetu ilikuwa na vyama vingine,hata hivyo vilifutwa, hadi miaka ishirini inapita,
"SASA MTAGEUZWA GEUZWA HADI LINI?JPM AIIWAGEUZA,HAKUNA MLICHOFANYA,
HOJA YANGU KUU NI KUA NA MTAJI WA WATU,NA KUITAZAMA CHADEMA INAWAPIGANIA WATU,
 
Tatizo la JF kwa sasa ni kwamba imevamiwa na watoto ambao hata hiyo historia ya mageuzi ya kuruhusu vyama vingi hawajui na hawafanyi juhudi zozote za kujua.

6 Pack; Rais Mwinyi akiwa mwenyekiti wa CCM, aliongoza upinzani dhidi mageuzi hayo akitumia vyombo vyote vya dola kuhakikisha vyama vingi haviruhusiwi nchini.

Kamati Kuu ya CCM, viongozi na wananchama wa CCM walipinga mfumo huo mpya wa vyama vingi na walitumia vyombo hivyo vya dola kupambana na wana mageuzi.

Vyombo vya habari kama radio ya taifa na magazeti ya serikali yaliendesha propaganda kali yakiwaeleza wananchi hatari ya vyama vingi.

Mifano ilitolewa ya nchi kama Rwanda ya hatari ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kama mfumo wa vyama vingi ungeruhusiwa ndani ya Jamhuri yetu ya Muungano.

Hali hii iliendelea na wanamageuzi wengi walijeruhiwa na kulemazwa na vipigo vya polisi huku Waziri Mkuu John Malecela akiwafananisha na mchwa wa kukanyagwa tu.

Hadi siku Baba wa Taifa, wakati huo akiwa ni Rais Mstaafu alipowaasa CCM akiwaonya kuwa wasiporuhusu kwa amani wawe tayari kuyaruhusu kwa shari.

Ghafla upepo ulibadilika, CCM walinywea pamoja na asilimia 90% ya wananchi kutotaka mfumo huo kutokana na hila na propaganda za CCM kama chama tawala.

6 Pack, usilolijua ni kama usiku wa giza. CCM ilijengwa katika msingi ua uongo, hofu na ufashisti. Hawakutaka democrasia ya vyama vingi wala Katiba huru ya vyama vingi.

Hadi leo CCM wanaogopa hiyo Katiba kama ukoma kwani hayo madaraka wanaamini ni yao na hawapo tayari kuyaachia hata kwa miaka mia kama wanavyodai.
Kuna mambo yameanza toka zamani kumbe mi nilijua hivi juzi kati hapo.
 
🤗😂,Ulikua bado mdogo, miaka ya 90,, kulifanyika kura ya maoni,, kuamua nchi iwe na vyama vingi au lah,
Matokeo asilimia 90 ya wananchi wakataka nchi iendelee na chama kimoja,,
Jk Nyerere ndo akashauri, kinyume namaamuzi ya wananchi, kwamba, Tufuate mfumo wa vyama vingi,
Uchaguzi wa vyama vingi wa kwanza ukafanyika 1995.
Kumbe alishauri tu. Nilijua kuwa yeye ndio aliamua na kutia saini sheria ya kuanzisha vyama vingi.
 
Hebu fikiria mama Samia alitoka wapi kwenye bunge la katiba? Tatizo la chadema wanataka kupewa katiba kwa hisani, kama mwl nyerere alivyoruhusu vyama vingi vya siasa,

Ccm ina asasi nyingi zilizosajiriwa kwa makundi mbalimbali kama vile vyama vya wakulima na vyama vya ushirika ,na ukisoma ilani ya ccm inahimiza wana ccm kujiunga na ushirika. NB: Inapotokea watu wawakilishi wa kundi la wakulima wanajitokeza kwa haaraka zaidi ila Chadema hawana hata chama kimoja cha ushirika, inapotokea kupitisha maamuzi chadema wanasusa,

Haya vyama vya wafanyakazi,mfano CWT mmeona teuzi za madc, utaona kiongozi ameteuliwa,hawa ikitokea bunbge la katiba wataangaliwa watu muhimu wanaounga mkono hoja, CHADEMA wapo tu wala hawataki kuunda vyama vya wafanyakazi,na kuna wafanya kazi wengi tu ambao ni wafuasi wenu, hawa kina kibatala kazi yao ni ipi?,

.vyama vya wafugaji vingi ni vya wanaccm,nakwenye bunge la katiba walikuwapo na leo wengine ni mawazili,ila ukiwauliza vijana wa. chadema wafugaji kanda ya ziwa hutawaona ,utawaona kwenye kahawa,

KATIBA siyo tumehuru ya uchaguzi ,ni mahitaji ya makundi tofauti tofauti,acheni ujinga,
Ni mpumbavu tu anaweza kubeza KATIBA MPYA
 
Nadhani wewe ndio mjinga mpaka hapo. Una Elimu ila huna akili.
 
Kumbe alishauri tu. Nilijua kuwa yeye ndio aliamua na kutia saini sheria ya kuanzisha vyama vingi.
Bado ulikua mdogo, huwezi kuelewa,, Nyerere ndo alikua kila kitu, akisema amesema,, alikuja kukwama tu kwa Benjamini mkapa😂😂
 
Nyerere aliruhusu vyama vingi kivipi na wakati katika utawala wake chama kilikuwa kimoja tu ambacho ni CCM.
Mleta mada unaweza kutuambia ni wapi katika utawala wa Nyerere aliruhusu vyama vingi?
hilo ni kweli, yeye kama mwenyekiti wa chama, kwenye vikao vyao wana ccm hawakutaka mfumo wa vyma vingi ila yeye mwl. kwa kutumia rungu lake la uenyekiti, aliruhusu
 
Hao wengi wanaopitisha katiba wanapatikanaje? Kama wanapatikana kwa njia khalali sawa, lakin kama wanapatikana kwa hila basi haitokuwa.

Halafu ondoa hiyo mentality ya kuwa kuna anayeomba katiba na mwingine anayeombwa, anayetoa na anayepokea. Hakuna anayeombwa katiba bali ni wananchi wote tunatengeneza katiba kwa ajili ya nchi yetu leo na kesho. Huu ni wajibu wetu sote, kwa hiyo hata kwenye kuunda makundi ya kuja kupitisha katiba ni wajibu wetu sote tuzingatie hilo, lazima ifanyike affirmative action kuona kwamba makundi yanaundwa kwa namna ambayo yatapelekea upatikanaji wa katiba bora ya nchi.
Kama ulifuatilia kampeni za refrundum kenya kupata katiba mpya,, kulikua na makundi, orange, Ndizi, etc,, kampeni zilikua kama za uchaguzi mkuu,, bahati ya kenya ni kwamba vyama vyote vina nguvu karibu sawa,, iwe nguvu ya pesa au watu,,
Hivyo kampeni huwa zinafanywa kwelikweli,,
Hapa Tanzania shida vyama vya upinzani bado legelege kiuchumi na kwa watu pia, hawana majority,, hivyo wasitegeemee katiba wanayoitaka wao itapita,,
Bila ushawishi wa watu, huwezi kutegemea kikundi kidogo cha watu hawazidi 20(mbowe, lisu, zito, henche, martin, mnyika, etc...)eti kipambane na wanaccm karibu milioni 2 kwenye kampeni za kushawishi uungwaji mkono,,
Katiba haitatoka kama fadhila kwa upinzani,, majority ndo watapitisha katiba, au la labda zitumike busara za viongozi wa juu
 
🤗😂,Ulikua bado mdogo, miaka ya 90,, kulifanyika kura ya maoni,, kuamua nchi iwe na vyama vingi au lah,
Matokeo asilimia 90 ya wananchi wakataka nchi iendelee na chama kimoja,,
Jk Nyerere ndo akashauri, kinyume namaamuzi ya wananchi, kwamba, Tufuate mfumo wa vyama vingi,
Uchaguzi wa vyama vingi wa kwanza ukafanyika 1995.
90%? Hii chai 🤣🤣
 
hilo ni kweli, yeye kama mwenyekiti wa chama, kwenye vikao vyao wana ccm hawakutaka mfumo wa vyma vingi ila yeye mwl. kwa kutumia rungu lake la uenyekiti, aliruhusu
Lilikua pia ni takwa la IMF,, ambao waliweka masharti,, kwamba, elimu, afya bure, iwe marufuku, watu waanze kuchangia(cost sharing),uchumi uwe free(free economy),serikali isipange bei ya bidhaa, iamuliwe na masoko, structural adjustment programe, kupunguza watumishi(redundancy),
Ubnafsishaji na kuruhusu mfumo wa vyama vingi(democracy)
 
90%? Hii chai 🤣🤣
Ni kweli, wewe unadhani wannchi wangekuwa tayari kwa mageuzi, vyama vya upinzani vingekua tayari vilishashika nchi,
Sehemu pekee waliyo tayari kwa mageuzi ni zanzibar...
 
Kama ulifuatilia kampeni za refrundum kenya kupata katiba mpya,, kulikua na makundi, orange, Ndizi, etc,, kampeni zilikua kama za uchaguzi mkuu,, bahati ya kenya ni kwamba vyama vyote vina nguvu karibu sawa,, iwe nguvu ya pesa au watu,,
Hivyo kampeni huwa zinafanywa kwelikweli,,
Hapa Tanzania shida vyama vya upinzani bado legelege kiuchumi na kwa watu pia, hawana majority,, hivyo wasitegeemee katiba wanayoitaka wao itapita,,
Bila ushawishi wa watu, huwezi kutegemea kikundi kidogo cha watu hawazidi 20(mbowe, lisu, zito, henche, martin, mnyika, etc...)eti kipambane na wanaccm karibu milioni 2 kwenye kampeni za kushawishi uungwaji mkono,,
Katiba haitatoka kama fadhila kwa upinzani,, majority ndo watapitisha katiba, au la labda zitumike busara za viongozi wa juu
nakubali asilimia 100%

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
🐒🐒🐒
 
Ndiyo maana tunashauri vyama vya upinzani viwe na political machines kwenye ngazi zote kuanzia vitongojini mpaka taifa zikiwa na wanaitikadi wa kutosha na units za uchumi hata zikiwa mali binafsi ya wanachama!

Kwa hali ya upinzani ilivyo sasa,
hivyo vyama ni kama bado vipo kwenye makaratasi tu.

Nchi ni kama vile bado ni ya chama kimoja.
 
Back
Top Bottom