Abomination.bro wanatakiwa kujua hata makanisa yapo hadi ya ccm,mfano gwajima,siku wakisikia gwajima anawakilsha walokele nadhni wataandamana

CHADEMA ni chama cha wachaga tuHebu fikiria mama Samia alitoka wapi kwenye bunge la katiba? Tatizo la chadema wanataka kupewa katiba kwa hisani, kama mwl nyerere alivyoruhusu vyama vingi vya siasa,
Ccm ina asasi nyingi zilizosajiriwa kwa makundi mbalimbali kama vile vyama vya wakulima na vyama vya ushirika ,na ukisoma ilani ya ccm inahimiza wana ccm kujiunga na ushirika. NB: Inapotokea watu wawakilishi wa kundi la wakulima wanajitokeza kwa haaraka zaidi ila Chadema hawana hata chama kimoja cha ushirika, inapotokea kupitisha maamuzi chadema wanasusa,
Haya vyama vya wafanyakazi,mfano CWT mmeona teuzi za madc, utaona kiongozi ameteuliwa,hawa ikitokea bunbge la katiba wataangaliwa watu muhimu wanaounga mkono hoja, CHADEMA wapo tu wala hawataki kuunda vyama vya wafanyakazi,na kuna wafanya kazi wengi tu ambao ni wafuasi wenu, hawa kina kibatala kazi yao ni ipi?,
.vyama vya wafugaji vingi ni vya wanaccm,nakwenye bunge la katiba walikuwapo na leo wengine ni mawazili,ila ukiwauliza vijana wa. chadema wafugaji kanda ya ziwa hutawaona ,utawaona kwenye kahawa,
KATIBA siyo tumehuru ya uchaguzi ,ni mahitaji ya makundi tofauti tofauti,acheni ujinga,
CCM ni Chama Cha MajuhaCHADEMA ni chama cha wachaga tu
Hii iwafikie TWAWEZA, ndio watakaowe kutuambia mleta mada ni mtu wa aina gani.Hebu fikiria mama Samia alitoka wapi kwenye bunge la katiba? Tatizo la chadema wanataka kupewa katiba kwa hisani, kama mwl nyerere alivyoruhusu vyama vingi vya siasa,
Ccm ina asasi nyingi zilizosajiriwa kwa makundi mbalimbali kama vile vyama vya wakulima na vyama vya ushirika ,na ukisoma ilani ya ccm inahimiza wana ccm kujiunga na ushirika. NB: Inapotokea watu wawakilishi wa kundi la wakulima wanajitokeza kwa haaraka zaidi ila Chadema hawana hata chama kimoja cha ushirika, inapotokea kupitisha maamuzi chadema wanasusa,
Haya vyama vya wafanyakazi,mfano CWT mmeona teuzi za madc, utaona kiongozi ameteuliwa,hawa ikitokea bunbge la katiba wataangaliwa watu muhimu wanaounga mkono hoja, CHADEMA wapo tu wala hawataki kuunda vyama vya wafanyakazi,na kuna wafanya kazi wengi tu ambao ni wafuasi wenu, hawa kina kibatala kazi yao ni ipi?,
.vyama vya wafugaji vingi ni vya wanaccm,nakwenye bunge la katiba walikuwapo na leo wengine ni mawazili,ila ukiwauliza vijana wa. chadema wafugaji kanda ya ziwa hutawaona ,utawaona kwenye kahawa,
KATIBA siyo tumehuru ya uchaguzi ,ni mahitaji ya makundi tofauti tofauti,acheni ujinga,
Jamaa ana point sanaRojo tupu🤣🚮🚮
Haikuwa 90%, ilikuwa 80%. Na wala hakukuwa na kura ya maoni bali ilikuwa kamati tu iliyochukua maoni ya wananchi.[emoji847][emoji23],Ulikua bado mdogo, miaka ya 90,, kulifanyika kura ya maoni,, kuamua nchi iwe na vyama vingi au lah,
Matokeo asilimia 90 ya wananchi wakataka nchi iendelee na chama kimoja,,
Jk Nyerere ndo akashauri, kinyume namaamuzi ya wananchi, kwamba, Tufuate mfumo wa vyama vingi,
Uchaguzi wa vyama vingi wa kwanza ukafanyika 1995.
Wao wanaamini sana kwamba watu wameichoka ccm hivyo automatically hao watu wapo upande wao.Sasa chadema wanaamini wananchi ni wao tu, na ndo wana haki katiba iandikwaje,,
Hawaekewi simple fact ni kwamba hawana majority,,
Katiba huandikwa na kupitisha na majorities, haijalishi hiyo katiba, inataka nchi iwe ya kifalme, vyama vingi, kimoja, au bila vyama,, majority wakipitisha, hiyo ni katiba halali,
Ndo maana nasema, mwisho wa siku,, cdm watatia mpira kwapani,, maana wao wanataka katiba, anayotaka mr Lisu😂😂🙆♀️
Hao wengi wanaopitisha katiba wanapatikanaje? Kama wanapatikana kwa njia khalali sawa, lakin kama wanapatikana kwa hila basi haitokuwa.Shida ni kwamba, katiba haitolewi kama msaada,walio wengi ndo watapitisha katiba na itakua halali,, mfano mdogo tu, rasimu ya warioba, walishindana padogo sana,, serikali mbili au tatu,,,
Wengi kwenye bunge la katiba walitaka serikali mbili zoendelee,,
Ukawa walikua wachache , wakataka serikali tatu, matokeo yake, kwasababu walikua wachache ikashindikana, wakasusa,,
Lakini duniani kote, wengi ndio wanapitisha ajenda, na huwezi kususa eti uforce minority wapitishe ajenda,,
Hii labda itokee hapa bongo tu,,
Duniani kote, democracy inaamua kwa kura, wengi ndio wanapitisha ajenda
Ccm ni chama cha wezi tuCHADEMA ni chama cha wachaga tu
Kwa bahati mbaya sana naona kuwa hata sasa tunaye Nyerere na pia tuna Rais wa nchi ambaye ni Samia, sasa sijui kama huyu Nyerere wa sasa atafanya hivyo unavyo wish au atafanya vyengine.Wewe ndio hata hujui kinachoendelea nchi hii.Wakati mfumo wa vyama vingi unaingia nchini kwetu Mwanzoni mwa miaka ya 90,wananchi wote wa Tanzania waliambiwa wapige Kura na kutoa Maoni Yao kwamba,mfumo wa vyama vingi viruhusiwe Tanzania au tuendelee na mfumo wa chama kimoja Cha CCM? Wananchi wakaamua(kwa ujinga wao au kwa kutokujua umuhimu wa vyama vingi) kwamba Tuendelee na mfumo wa chama kimoja.Nyerere kwa sababu Yeye alikuwa na akili,Akaona Hawa Wa-Tanzania wangu Ni mazuzu.Hawajui umuhimu na faida ya vyama vingi kwenye siasa.Kwa kuwa Yeye alikuwa Ni Mwenyekiti wa CCM wakati hUO na Mzee Mwinyi alikuwa Rais,Akatumia TURUFU YA UBABA WA TAIFA,akasema na kupitisha kwa nguvu kwamba Tanzania Ni Lazima iwe nchi ya vyama vingi.Vinginevyo isingekuwa Nyerere,Ina maana mpaka leo hii huenda Tanzania ingekuwa nchi ya chama kimoja Cha CCM kisheria.
MIMI NINAAMINI PIA KWAMBA,MAMA SAMIA NI RAIS MWANAMKE MWENYE UWEZO NA AKILI NYINGI KULIKO VIONGOZI WENZAKE WOTE WALIOKO CCM KWA SASA(Ambao wengi Ni wabinafsi na wachumia matumbo Yao na ya familia zao).Huyu mama ndio Nyerere wetu wa wakati huu.Atatuletea katiba mpya ya WARIOBA hata Kama wananchi wengi hawataki kwa sababu ya umbumbu wao.Mungu wetu Tunakuomba mbariki Rais Mama Samia,mpe Afya njema na maisha marefu Kama ya Yule Malkia Elizabeth wa Uingereza(Aliyekufa hivi karibuni) na Zaidi(kwa mapenzi yako Ee Mungu) Ili aendelee kuwa Baraka kwa mataifa yetu ya TANGANYIKA NA ZANZIBAR.Aminaa.
Kwa wanao kumbuka maneno yako ni sahihi🤗😂,Ulikua bado mdogo, miaka ya 90,, kulifanyika kura ya maoni,, kuamua nchi iwe na vyama vingi au lah,
Matokeo asilimia 90 ya wananchi wakataka nchi iendelee na chama kimoja,,
Jk Nyerere ndo akashauri, kinyume namaamuzi ya wananchi, kwamba, Tufuate mfumo wa vyama vingi,
Uchaguzi wa vyama vingi wa kwanza ukafanyika 1995.
Tatizo la JF kwa sasa ni kwamba imevamiwa na watoto ambao hata hiyo historia ya mageuzi ya kuruhusu vyama vingi hawajui na hawafanyi juhudi zozote za kujua.Nyerere aliruhusu vyama vingi kivipi na wakati katika utawala wake chama kilikuwa kimoja tu ambacho ni CCM.
Mleta mada unaweza kutuambia ni wapi katika utawala wa Nyerere aliruhusu vyama vingi?
he! kumbe vyama vya ushirika ni vya ccm? eti asasi za ccm?! vyama vya wafanyakazi ni vya ccm!?Hebu fikiria mama Samia alitoka wapi kwenye bunge la katiba? Tatizo la chadema wanataka kupewa katiba kwa hisani, kama mwl nyerere alivyoruhusu vyama vingi vya siasa,
Ccm ina asasi nyingi zilizosajiriwa kwa makundi mbalimbali kama vile vyama vya wakulima na vyama vya ushirika ,na ukisoma ilani ya ccm inahimiza wana ccm kujiunga na ushirika. NB: Inapotokea watu wawakilishi wa kundi la wakulima wanajitokeza kwa haaraka zaidi ila Chadema hawana hata chama kimoja cha ushirika, inapotokea kupitisha maamuzi chadema wanasusa,
Haya vyama vya wafanyakazi,mfano CWT mmeona teuzi za madc, utaona kiongozi ameteuliwa,hawa ikitokea bunbge la katiba wataangaliwa watu muhimu wanaounga mkono hoja, CHADEMA wapo tu wala hawataki kuunda vyama vya wafanyakazi,na kuna wafanya kazi wengi tu ambao ni wafuasi wenu, hawa kina kibatala kazi yao ni ipi?,
.vyama vya wafugaji vingi ni vya wanaccm,nakwenye bunge la katiba walikuwapo na leo wengine ni mawazili,ila ukiwauliza vijana wa. chadema wafugaji kanda ya ziwa hutawaona ,utawaona kwenye kahawa,
KATIBA siyo tumehuru ya uchaguzi ,ni mahitaji ya makundi tofauti tofauti,acheni ujinga,
ndo maana tunashauri hiki chama wakikabidhi kwa watu n makundi mbali mbali ya kijamii,tatizo vijana wanakula ugoro hata kutafuta fursa humohumo kwenye makundi ya ccm hawataki,Mfano kanda ya ziwa kuna vikundi vya uchimbaji madini utakuta wengi wenye vikundi ni CCM ,vijana wa chadema wanakula kahawa na kujitenga,CHADEMA ni chama cha wachaga tu
Mimba yako ina umri gani?Hebu fikiria mama Samia alitoka wapi kwenye bunge la katiba? Tatizo la chadema wanataka kupewa katiba kwa hisani, kama mwl nyerere alivyoruhusu vyama vingi vya siasa,
Ccm ina asasi nyingi zilizosajiriwa kwa makundi mbalimbali kama vile vyama vya wakulima na vyama vya ushirika ,na ukisoma ilani ya ccm inahimiza wana ccm kujiunga na ushirika. NB: Inapotokea watu wawakilishi wa kundi la wakulima wanajitokeza kwa haaraka zaidi ila Chadema hawana hata chama kimoja cha ushirika, inapotokea kupitisha maamuzi chadema wanasusa,
Haya vyama vya wafanyakazi,mfano CWT mmeona teuzi za madc, utaona kiongozi ameteuliwa,hawa ikitokea bunbge la katiba wataangaliwa watu muhimu wanaounga mkono hoja, CHADEMA wapo tu wala hawataki kuunda vyama vya wafanyakazi,na kuna wafanya kazi wengi tu ambao ni wafuasi wenu, hawa kina kibatala kazi yao ni ipi?,
.vyama vya wafugaji vingi ni vya wanaccm,nakwenye bunge la katiba walikuwapo na leo wengine ni mawazili,ila ukiwauliza vijana wa. chadema wafugaji kanda ya ziwa hutawaona ,utawaona kwenye kahawa,
KATIBA siyo tumehuru ya uchaguzi ,ni mahitaji ya makundi tofauti tofauti,acheni ujinga,
Mkuu mataga ni zero brainNyerere aliruhusu vyama vingi kivipi na wakati katika utawala wake chama kilikuwa kimoja tu ambacho ni CCM.
Mleta mada unaweza kutuambia ni wapi katika utawala wa Nyerere aliruhusu vyama vingi?
Wanaopiga kura kwa taarifa yenu ni wale wanaokopshwa fedha kwa riba nafuuu kabisa,na wanavikundi vya ujasilia mali vinavyotambulika,shida inakuja mnposima kwenye majukwaa na kusema serikali haitoi mikopo ,Kwa akili kama ya huyu aliyeleta huu uzi, itabidi tuanze kupima akili za wapiga kura kama wanajitambua na ikiwezekana ukitaka kupiga kura lazima ulipe tozo