Ujinga wa Aggrey na Cliford na app yao

maatope

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
1,424
957
Jamaa wa Aggrey and Clifford wamesainisha mastaa 40 wa bongo kupromote app yao ya binary na na madai yao hiyo inawapa uhakika wa kuwafikia watu milioni 30,REALLY?

Ina maana hawajui ukiona huyu ana followers milioni 2,yule 1 yule laki 8 unadhani ni watu tofauti? Ni walewale tu tena na wengine wana followers wa kununua huko huko.

Wabongo wa instagram sidhani kama wanaidi milioni 3. Acheni ujinga nyie,milioni 30 imekuwa China hii.

Embu soma kaujinga chao...

app ya Binary inawawezesha kujua ni muda upi watu wanasoma zaidi matangazo (prime time) na hivyo kuwekwa katika muda muafaka.

Pia walitengeneza gharama husika (rate card) kwa kuzingatia wingi wa followers alionao staa husika. Alidai kuwa hadi sasa wamesaini mastaa 40 wanaowapa uhakika wa kuwafikia watu zaidi ya milioni 30.
 
Back
Top Bottom