Ujinga ni.........

Ujinga ni.........

Lord K

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
213
Reaction score
37
Ujinga ni kumchungulia mke wako akiwa anaoga; ujinga ni kupunguza sauti ya TV ili usome sms; ujinga ni kutoa ushuzi ukiwa na headphone masikioni......ujinga ni....

Tiririkaaa.....
 
ujinga ni kuva sunglass usiku,ujinga ni kujamiaana bila kinga ujinga ni kupenda kulalamika
 
kuandika upuuzi km huu ndani ya JF.
 
ujinga ni mjinga kama wewe ulioleta huu ujinga humu... Sorry for being ruuude.
 
ujinga ni wewe kurudia topic ambayo imeshawekwa mara kibao humu.. mjinga sna wewe
 
....ujinga zaidi ni wale wanaochangia thread za kijinga.
 
ujinga ni kumpa kuku maji ya moto eti ili atage mayai ya kuchemsha
 
ujinga ni kuponda thread za watu wakati usinge comment usingepungukiwa na kitu..
 
Ujinga ni kumchungulia mke wako akiwa anaoga; ujinga ni kupunguza sauti ya TV ili usome sms; ujinga ni kutoa ushuzi ukiwa na headphone masikioni......ujinga ni....

Tiririkaaa.....

mi napita tuu ila kuchagia ujinga ni ujinga.
 
Kumwambia dem wako kanisani,chuna sadaka ntakutolea.
 
Back
Top Bottom