Ujinga ni mtaji kwa wajanja wachache

foroy

Senior Member
May 2, 2018
186
288
Kuongezeka kwa utapeli na matukio ya kitapeli ndani ya eneo fulani, kunaenda sambamba na ongezeko la wajinga ndani ya eneo hilo, ceteris paribas.

Ujinga ni mtaji kwa wajanja wachache.
 
Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta!
 
Kuongezeka kwa utapeli na matukio ya kitapeli ndani ya eneo fulani, kunaenda sambamba na ongezeko la wajinga ndani ya eneo hilo, ceteris paribas.

Ujinga ni mtaji kwa wajanja wachache.
Kutapeliwa siyo ujinga.

Na kama hujawahi Kutapeliwa unaweza kuhisi wewe ni mjanja sana.

Ila Kwasababu nchi hii ni ya kipumbavu, nakuthibituehia unless kama wewe siyo mpambanaji.

Kama wewe ni mpambanani utakuja Kutapeliwa tu
 
Back
Top Bottom