Ujinga, kiburi, dharau, majivuno, kutokuona mbele na kukosa maarifa kwa CCM kumewafanya Watanzania wajifunze Ugaidi

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,246
Reaction score
7,110
Ukisikia Vijana wa Kitanzania wanavyohamasishana,wanavyofundishana,wanavyopeana mbinu kwa ajili ya maandamano,kwa ajili ya kukabiliana na polisi waziwazi huwezi kuamini kama Tanzania yangu imefikia hapa.

Sikuwahi hata siku moja kufikiria kama Watanzania watakuja kufikia Hali hii.
Hali hii tumekua tukiisikia Kwa wenzetu TU,toka tukiwa wadogo.

Mioango hii ya mapambano tuliisikia inafanyika Palestina,south Africa, northern Ireland, Kashmir n.k.
Inauma sana Kwa kweli, Leo Hali hii inaenda kutokea kwetu.

Sababu kuu ni Viongozi waliochaguliwa na wananchi hawataki kuwasikikiza wananchi waliowachagua.

Tanzania ilikua msuluhishi mkubwa wa migogoro hapa Afrika Leo nani atatusuluhisha sisi?

Maandamano yafanikiwe ama yasifanikiwe lakini mbegu inayopandwa haitakuja kuoza milele.

Akifa hata mtu mmoja TU tayari nchi itaingia katika historia chafu ambayo haikua asili yetu.

Kiburi na dharau dhidi ya wananchi ni kunapelekea kuwachosa Askari wetu na vyombo vya usalama ,kwa sababu badala ya kuangalia vitisho kutoka nje wanajua bize bila sababu za msingi kukabiliana Watanzania wenzao ndani ya nchi Yao wenyewe.

Nguvu hii inayotumika kukabiliana na wananchi ingetumika kukabiliana na majangili na wahujumu uchumi Leo hii Tanzania ingekua kama Uswis.
 
Mod naomba unisahihishie headingi neno Mataifa niliandika Maarifa ikaja Mataifa.
Naomba uweke neno "Maarifa" badala ya Mataifa.
 
Ukisikia Vijana wa Kitanzania wanavyohamasishana,wanavyofundishana,wanavyopeana mbinu kwa ajili ya maandamano,kwa ajili ya kukabiliana na polisi waziwazi huwezi kuamini kama Tanzania yangu imefikia hapa.

Sikuwahi hata siku moja kufikiria kama Watanzania watakuja kufikia Hali hii.
Hali hii tumekua tukiisikia Kwa wenzetu TU,toka tukiwa wadogo.

Mioango hii ya mapambano tuliisikia inafanyika Palestina,south Africa, northern Ireland, Kashmir n.k.
Inauma sana Kwa kweli, Leo Hali hii inaenda kutokea kwetu.

Sababu kuu ni Viongozi waliochaguliwa na wananchi hawataki kuwasikikiza wananchi waliowachagua.

Tanzania ilikua msuluhishi mkubwa wa migogoro hapa Afrika Leo nani atatusuluhisha sisi?

Maandamano yafanikiwe ama yasifanikiwe lakini mbegu inayopandwa haitakuja kuoza milele.

Akifa hata mtu mmoja TU tayari nchi itaingia katika historia chafu ambayo haikua asili yetu.

Kiburi na dharau dhidi ya wananchi ni kunapelekea kuwachosa Askari wetu na vyombo vya usalama ,kwa sababu badala ya kuangalia vitisho kutoka nje wanajua bize bila sababu za msingi kukabiliana Watanzania wenzao ndani ya nchi Yao wenyewe.

Nguvu hii inayotumika kukabiliana na wananchi ingetumika kukabiliana na majangili na wahujumu uchumi Leo hii Tanzania ingekua kama Uswis.
Sio wajifunze ugaidi, wajifunze kupambania haki zao.

Watanzania wakinyamaza mnasema 'yamelala kama maiti', yule rais wa Kenya alimwambia Mwalimu 'Unaongoza maiti'.
Wakianza kujitambua mnasema 'wanajifunza ugaidi'.

Inabidi sote tukubali ya kwamba dunia imebadilika kila nyanja, teknolojia, uchukuzi, elimu n.k..

Hata siasa za dunia zinabadilika, na mabadiliko huwezi kuyazuia, mabadiliko ni mafuriko makubwa, yape njia yapite, ukitaka kuyazuia hutoweza zaidi ya kupata hasara.
Sasa ndipo tunaingia kwenye hatua nzuri kabisa ya kufahamu namna ya kupambania haki zetu, namna ya kutumia vyema rasilimali za nchi, namna ya kuwahoji na kuwawajibisha viongozi.

Hata nchi zilizoendelea walipitia wakati wa mabadiliko, wakati wa mabadiliko ni kipindi kigumu.

Mlipuko wa volcano huharibu maeneo kwa muda, lakini baadaye udongo unaotokana na lava huwa wenye rutuba sana.

Mbegu lazima ife kama mbegu, ivunjike na kubadilika kuwa mche.

Acha wananchi waichukue nchi yao.
 
Ukisikia Vijana wa Kitanzania wanavyohamasishana,wanavyofundishana,wanavyopeana mbinu kwa ajili ya maandamano,kwa ajili ya kukabiliana na polisi waziwazi huwezi kuamini kama Tanzania yangu imefikia hapa.

Sikuwahi hata siku moja kufikiria kama Watanzania watakuja kufikia Hali hii.
Hali hii tumekua tukiisikia Kwa wenzetu TU,toka tukiwa wadogo.

Mioango hii ya mapambano tuliisikia inafanyika Palestina,south Africa, northern Ireland, Kashmir n.k.
Inauma sana Kwa kweli, Leo Hali hii inaenda kutokea kwetu.

Sababu kuu ni Viongozi waliochaguliwa na wananchi hawataki kuwasikikiza wananchi waliowachagua.

Tanzania ilikua msuluhishi mkubwa wa migogoro hapa Afrika Leo nani atatusuluhisha sisi?

Maandamano yafanikiwe ama yasifanikiwe lakini mbegu inayopandwa haitakuja kuoza milele.

Akifa hata mtu mmoja TU tayari nchi itaingia katika historia chafu ambayo haikua asili yetu.

Kiburi na dharau dhidi ya wananchi ni kunapelekea kuwachosa Askari wetu na vyombo vya usalama ,kwa sababu badala ya kuangalia vitisho kutoka nje wanajua bize bila sababu za msingi kukabiliana Watanzania wenzao ndani ya nchi Yao wenyewe.

Nguvu hii inayotumika kukabiliana na wananchi ingetumika kukabiliana na majangili na wahujumu uchumi Leo hii Tanzania ingekua kama Uswis.
Nini kimetokea huko Dar?
 
CCM twende na wakati maana kama vijana wakiamua kujifunza kutengeneza vilipuzi na technologyia inavyokua vijana watajifunza kwenye simu watawala hawako serious
 
Watawala wamelaaa wanachukulia mazoea, kumbe vizazi vimebadilika
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Tena bora yafanikiwa , yakishindwa basi tutazalisha vikundi vingi sana vya wapigania haki ambavyo nyinyi mafisadi mnaita vikundi vya ki gaidi.

Ni mwendo wa kutengeneza vilipuzi na hujuma kubwa kubwa na ndogo ndogo
 
Ukisikia Vijana wa Kitanzania wanavyohamasishana,wanavyofundishana,wanavyopeana mbinu kwa ajili ya maandamano,kwa ajili ya kukabiliana na polisi waziwazi huwezi kuamini kama Tanzania yangu imefikia hapa.

Sikuwahi hata siku moja kufikiria kama Watanzania watakuja kufikia Hali hii.
Hali hii tumekua tukiisikia Kwa wenzetu TU,toka tukiwa wadogo.

Mioango hii ya mapambano tuliisikia inafanyika Palestina,south Africa, northern Ireland, Kashmir n.k.
Inauma sana Kwa kweli, Leo Hali hii inaenda kutokea kwetu.

Sababu kuu ni Viongozi waliochaguliwa na wananchi hawataki kuwasikikiza wananchi waliowachagua.

Tanzania ilikua msuluhishi mkubwa wa migogoro hapa Afrika Leo nani atatusuluhisha sisi?

Maandamano yafanikiwe ama yasifanikiwe lakini mbegu inayopandwa haitakuja kuoza milele.

Akifa hata mtu mmoja TU tayari nchi itaingia katika historia chafu ambayo haikua asili yetu.

Kiburi na dharau dhidi ya wananchi ni kunapelekea kuwachosa Askari wetu na vyombo vya usalama ,kwa sababu badala ya kuangalia vitisho kutoka nje wanajua bize bila sababu za msingi kukabiliana Watanzania wenzao ndani ya nchi Yao wenyewe.

Nguvu hii inayotumika kukabiliana na wananchi ingetumika kukabiliana na majangili na wahujumu uchumi Leo hii Tanzania ingekua kama Uswis.
Kwa kuwa wameamua kujali tumbo zao pekee,ngoja walazimishwe kuwaheshimu Watanzania.
 
Back
Top Bottom