Ujerumani wagonjwa wanalala kwenye makorido

Ujerumani wagonjwa wanalala kwenye makorido

nyie ndio umeme ukikatika mnatoka kuangalia nje , kama nje umekatika mnafurahi
 
Kuna mwaka wakati wa mapigano ya koo kule kanda maalumu, wazee wa mila walihoji kwanini tunazuiwa kupigana wakati Somalia, Sudan, Serbia na kwingineko wanapigana?
Ndiyoooo!Waachwe wapigane!Ugomvi plus hasira vipo damuni!Mbona wazaramo wakisutana wanaachwa?
 
Du maisha yapo. Leo pia nimepita kuchukua mzigo wangu toka kwa Dr best ynagu hapa Klinikum moja. Njiani unaona kitanda na mtu kalala na drip yake. Of course mazingira safi Hakuna mmbu aber leider wapo makoridoni. Nimeuliza wanasema wamejaa wagonjwa. Sijaona maandamano wala kulalamika.
Upo state ipi hiko kitu nashindwa elewa Mimi nimelazwa klinikum na chumba kimoja kinachukua watu 4.. Hizo ni hadithi za uongo unataka leta
 
Unaonesha kambi za wakimbizi halafu unasema Hospital kuhalalisha hoja yako. Ujinga huo huwezi kuuona Germany usidanganye watu hapa.
Fact labda mgonjwa ametolewa ICU anapelekwa wodi ya kawaida Mimi nimelazwa hospital kwanza haijai hiyo wodi..
 
Chunguza vizuri utakuta hao wagonjwa ni wahamiaji ingawa ndani ya wodi kuna Vitanda visibly na wagonjwana mjerumani yupo ndani ya wodi ! Hii ndiyo ujeremani au Deutschland
Hata muhamihaji kama yupo hospital habaguliwi ni kesi kubwa hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom