Point of correction: siyo upanuzi wa kiwanja.... Ni ujenzi wa kiwanjaIpo hoja kwamba kuna upendeleo au kuna uamuzi mbaya kuhusiana na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Chato.
Unapopeleka maendeleo sehemu flani ya nchi, lazima uangalie shughuli kuu za kiuchumi kwenye eneo husika!Ipo hoja kwamba kuna upendeleo au kuna uamuzi mbaya kuhusiana na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Chato.
Naona ukosoaji mwingi unalenga kwenye hoja ya Rais kujipendelea kwa kuwa anatoka chato.
Ieleweke kuwa Chato ni sehemu muhimu ya Tanzania kama zilivyo sehemu nyingine regardless kwamba anatoka Rais wa JMT au la.
Chato inahitaji maendeleo kama vile sehemu nyingi nyinginezo nchini Tanzania tena kwa umuhimu ule ule kama zilivyo sehemu nyingi nchini.
Chato haiwezi kutengwa kwenye miradi ya maendeleo kisa tu kuogopa maneno ya wanasiasa juu yake hasa hasa kipindi hiki ambacho Rais anatokea huko.
Sasa ili tuwe honest ni vyema tukajadili gharama za mradi wa kunoresha airport ya Chato ukilinganisha na manufaa yake au athari zake kiuchumi.
mjadala huu usilenge sana maswala ya kisiasa bali ulenge athari na faida za kiuchumi kwa uwazi kabisa.
Je mradi wa Chato umegharimu kiasi gani?ninavyofahamu mradi utagharimu bilioni 39 na ushee.
Je gharama hizi zimeathiri huduma gani za nchi?
Je baada ya kukamilika mradi huu utazalisha kiasi gani kulinganisha na sasa?
Ningependa kuona maoni ya wachumi waliomo humu.
Wewe unapendekeza kujengwa hospitality badala ya airport! Ni hatari iwapo hata hufahamu kuwa polisi, magereza, mahakama na hospitali ni negative development.Hauna manufaa yoyote kwa taifa zaidi ya hasara tu. Kama ungekuwa uwanja wa jiji la Mwanza ndiyo unafanyiwa ukarabati wala usingesikia kelele zozote.
Hili jambo limefanywa bila kushirikisha ubongo, hata km ndo mkuu anatoka huko. Na je watu wa chato wanafaidika nini na uwepo wa uwanja huo zaidi ya vibarua wakati wa ujenzi.
Ni bora hata angewajengea hospitali tungemuona wa maana.....
Wewe unapendekeza kujengwa hospitality badala ya airport! Ni hatari iwapo hata hufahamu kuwa polisi, magereza, mahakama na hospitali ni negative development.
Inatakiwa kuwa na wagonjwa wengi kuamua kujenga hospitality pahali. Likewise, kuwe na wahalifu/uhalifu mwingi ili kujenga/kupanua vituo vya polisi, mahakama au magereza.
Ni kuishiwa fikra kwa kiwango cha hali ya just iwapo Kuna kiongozi au mwananchi wa kawaida asiyeweza kuona umuhimu (efficiency) wa kuwa na usafiri wa ndege kwa kila wilaya. Baada ya kumaliza Chato inatakiwa kupanuliwa airdrome ya pale Biharamulo (Katoke), Ngara (Kabanga), Karagwe (Ihembe) na hata kila wilaya.
Watanzania wasiendelee kupoteza muda kwenye kusafiria badala ya kufanya kazi. Fikra za wapinzani kwa sasa Ni mufilisi kabisa, delivering non-content shouts. Who cares!
Kiuchumi huu uwanja unaotumia billion 41 utasaidia vipi taifa kimapato??ongelea kiuchumi zaidi huku ukitoa data ...nitakuelewa
Duh kweli mnafunguka aisee.. ile kauli ya spika kua fungukeni kweli watu wanafunguka. Safi sana jingalao leo hakuna uchama bali utaifa.Ipo hoja kwamba kuna upendeleo au kuna uamuzi mbaya kuhusiana na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Chato.
Naona ukosoaji mwingi unalenga kwenye hoja ya Rais kujipendelea kwa kuwa anatoka chato.
Ieleweke kuwa Chato ni sehemu muhimu ya Tanzania kama zilivyo sehemu nyingine regardless kwamba anatoka Rais wa JMT au la.
Chato inahitaji maendeleo kama vile sehemu nyingi nyinginezo nchini Tanzania tena kwa umuhimu ule ule kama zilivyo sehemu nyingi nchini.
Chato haiwezi kutengwa kwenye miradi ya maendeleo kisa tu kuogopa maneno ya wanasiasa juu yake hasa hasa kipindi hiki ambacho Rais anatokea huko.
Sasa ili tuwe honest ni vyema tukajadili gharama za mradi wa kunoresha airport ya Chato ukilinganisha na manufaa yake au athari zake kiuchumi.
mjadala huu usilenge sana maswala ya kisiasa bali ulenge athari na faida za kiuchumi kwa uwazi kabisa.
Je mradi wa Chato umegharimu kiasi gani?ninavyofahamu mradi utagharimu bilioni 39 na ushee.
Je gharama hizi zimeathiri huduma gani za nchi?
Je baada ya kukamilika mradi huu utazalisha kiasi gani kulinganisha na sasa?
Ningependa kuona maoni ya wachumi waliomo humu.
Wewe unapendekeza kujengwa hospitality badala ya airport! Ni hatari iwapo hata hufahamu kuwa polisi, magereza, mahakama na hospitali ni negative development.
Inatakiwa kuwa na wagonjwa wengi kuamua kujenga hospitality pahali. Likewise, kuwe na wahalifu/uhalifu mwingi ili kujenga/kupanua vituo vya polisi, mahakama au magereza.
Ni kuishiwa fikra kwa kiwango cha hali ya just iwapo Kuna kiongozi au mwananchi wa kawaida asiyeweza kuona umuhimu (efficiency) wa kuwa na usafiri wa ndege kwa kila wilaya. Baada ya kumaliza Chato inatakiwa kupanuliwa airdrome ya pale Biharamulo (Katoke), Ngara (Kabanga), Karagwe (Ihembe) na hata kila wilaya.
Watanzania wasiendelee kupoteza muda kwenye kusafiria badala ya kufanya kazi. Fikra za wapinzani kwa sasa Ni mufilisi kabisa, delivering non-content shouts. Who cares!
Wewe unapendekeza kujengwa hospitality badala ya airport! Ni hatari iwapo hata hufahamu kuwa polisi, magereza, mahakama na hospitali ni negative development.
Inatakiwa kuwa na wagonjwa wengi kuamua kujenga hospitality pahali. Likewise, kuwe na wahalifu/uhalifu mwingi ili kujenga/kupanua vituo vya polisi, mahakama au magereza.
Ni kuishiwa fikra kwa kiwango cha hali ya just iwapo Kuna kiongozi au mwananchi wa kawaida asiyeweza kuona umuhimu (efficiency) wa kuwa na usafiri wa ndege kwa kila wilaya. Baada ya kumaliza Chato inatakiwa kupanuliwa airdrome ya pale Biharamulo (Katoke), Ngara (Kabanga), Karagwe (Ihembe) na hata kila wilaya.
Watanzania wasiendelee kupoteza muda kwenye kusafiria badala ya kufanya kazi. Fikra za wapinzani kwa sasa Ni mufilisi kabisa, delivering non-content shouts. Who cares!
Kwa mawazo yako ni watanzania wangapi wenye uwezo wa kupanda ndege, mpaka kila wilaya iwe na uwanja wa ndege?Wewe unapendekeza kujengwa hospitality badala ya airport! Ni hatari iwapo hata hufahamu kuwa polisi, magereza, mahakama na hospitali ni negative development.