Serikali ipo mbioni kujenga chanzo kikubwa cha kuzalisha umeme ndani ya Hifadhi ya Seleou.Ni kwamba 1/3 ya eneo lote litatumika.Naunga mkono serikali kujiamulia namna nzuri ya kujiletea maendeleo kwa kutumia rasilimali zake bila kuingiliwa na wazungu.Tanzania ya "viwanda" bila shaka inahitaji umeme zaidi.Hofu yangu ni;
1.Environmental Impact Assessment ilifanyika siku nyingi,1980's.Hatujambiwa kama kuna ecological na economical divergences zilizotokea kwa kipindi hichi kirefu.
2.Tuliaminishwa kuwa ungunduzi wa gasi asilia ungetatua matatizo yote ya umeme nchini na tungeuza ziada nje.Sijui nini kimetokea mpaka tuanze kutaka kutafuta reserve zingine ambazo labda zina athari za ki ecologia na kimazingira.
3.Tuliambiwa nchi ina mkondo wa upepo huko Singida ambao ungeweza kuzalisha umeme mwingi,na kazi ni kuweka tu mitambo ya kubadilisha nishati moja kwenda nyingine.Hatuambiwi huu upepo unaleta faida gani kiasi kwamba tuendelee "kuufuga" bila kuutumia.
4.Jua linawaka sana Tanzania,kwanini hatulitumii kutengenezea umeme mpaka tuharibu vyanzo vyetu vingine vya kiuchumi kwa kujenga hilo Stigler's gorge? Huwa inaniumiza sana kuona backup ya umeme kwenye taasisi nyingi ni majenereta yanayotumia mafuta mengi badala ya kuweka solar pannels.
Naishauri serikali iangalie potentiality ya fursa zote za kuzalisha umeme kabla ya kuanza kuchimba huko Seleou.
Kama umeme wa gesi tulioaminishwa tutauza nje haujatosheleza ndani,je,tuamini wa Stigler's gorge utatosheleza au ni kudanganyana tu!
Tungacha bombardier, kinyerezi na sgr ... tungelipa cash Stiegler's gorge.Issue hapa ni kwamba hizo pesa tunazo???
PointsSerikali ipo mbioni kujenga chanzo kikubwa cha kuzalisha umeme ndani ya Hifadhi ya Seleou.Ni kwamba 1/3 ya eneo lote litatumika.Naunga mkono serikali kujiamulia namna nzuri ya kujiletea maendeleo kwa kutumia rasilimali zake bila kuingiliwa na wazungu.Tanzania ya "viwanda" bila shaka inahitaji umeme zaidi.Hofu yangu ni;
1.Environmental Impact Assessment ilifanyika siku nyingi,1980's.Hatujambiwa kama kuna ecological na economical divergences zilizotokea kwa kipindi hichi kirefu.
2.Tuliaminishwa kuwa ungunduzi wa gasi asilia ungetatua matatizo yote ya umeme nchini na tungeuza ziada nje.Sijui nini kimetokea mpaka tuanze kutaka kutafuta reserve zingine ambazo labda zina athari za ki ecologia na kimazingira.
3.Tuliambiwa nchi ina mkondo wa upepo huko Singida ambao ungeweza kuzalisha umeme mwingi,na kazi ni kuweka tu mitambo ya kubadilisha nishati moja kwenda nyingine.Hatuambiwi huu upepo unaleta faida gani kiasi kwamba tuendelee "kuufuga" bila kuutumia.
4.Jua linawaka sana Tanzania,kwanini hatulitumii kutengenezea umeme mpaka tuharibu vyanzo vyetu vingine vya kiuchumi kwa kujenga hilo Stigler's gorge? Huwa inaniumiza sana kuona backup ya umeme kwenye taasisi nyingi ni majenereta yanayotumia mafuta mengi badala ya kuweka solar pannels.
Naishauri serikali iangalie potentiality ya fursa zote za kuzalisha umeme kabla ya kuanza kuchimba huko Seleou.
Kama umeme wa gesi tulioaminishwa tutauza nje haujatosheleza ndani,je,tuamini wa Stigler's gorge utatosheleza au ni kudanganyana tu!
Wakati mzungu akijenga viwanda hakujali mazingira sasa hivi mbongo kutaka japo umeme tu...utaambiwa mazingira.
Issue hapa ni kwamba hizo pesa tunazo???
Wakati mzungu akijenga viwanda hakujali mazingira sasa hivi mbongo kutaka japo umeme tu...utaambiwa mazingira.
Mkuu hii uliyoweka wewe ndio inaingia akilini na sio ile 1/3 ni eneo kubwa sana ukizingatia ukubwa wa selous!!!3% ya Selous.
Hujui kuwa H.E.P stations ni moja ya emitters wakubwa wa C02? Japo kwangu sioni kuwa kutoa C02 ni tatizo maana ni insignificant kwetu na ndio,refer Kyoto protocol.1/3??? una data za kutosha?
hivi nyie ni wasomi gani sasa, ukisoma na kuelewa mambo ya environmental conservation measures, moja ya njia ya kutatua uharibifu na uchafuzi wa mazingira ni kutumia Hydro-Electrical power( HEP), uchambuzi wako umeegemea kwenye wasiwasi wa kimazingira as if kuna air pollution ama too much vegetation clearance.
don't worry wala hatumo kwenye list ya nchi zinazozalisha hewa ukaa( greenhouse gases), lazima tuwe na mioyo ya kijasiri na kimaamuzi kama taifa, output ya Selous kwenye GDP yetu haitalingana na ya HEP.
Wazungu wanasimamia mazingira Afrika ilihali kwao ndo wanazalisha gesi hatari kwa mazingira duniani kote, we must be opportunists and not conservatives!!
Si mpaka wawape fedha au wawauzie hiyo mitambo!!!!!!!!!!!Serikali ipo mbioni kujenga chanzo kikubwa cha kuzalisha umeme ndani ya Hifadhi ya Seleou.Ni kwamba 1/3 ya eneo lote litatumika.Naunga mkono serikali kujiamulia namna nzuri ya kujiletea maendeleo kwa kutumia rasilimali zake bila kuingiliwa na wazungu.Tanzania ya "viwanda" bila shaka inahitaji umeme zaidi.Hofu yangu ni;
1.Environmental Impact Assessment ilifanyika siku nyingi,1980's.Hatujambiwa kama kuna ecological na economical divergences zilizotokea kwa kipindi hichi kirefu.
2.Tuliaminishwa kuwa ungunduzi wa gasi asilia ungetatua matatizo yote ya umeme nchini na tungeuza ziada nje.Sijui nini kimetokea mpaka tuanze kutaka kutafuta reserve zingine ambazo labda zina athari za ki ecologia na kimazingira.
3.Tuliambiwa nchi ina mkondo wa upepo huko Singida ambao ungeweza kuzalisha umeme mwingi,na kazi ni kuweka tu mitambo ya kubadilisha nishati moja kwenda nyingine.Hatuambiwi huu upepo unaleta faida gani kiasi kwamba tuendelee "kuufuga" bila kuutumia.
4.Jua linawaka sana Tanzania,kwanini hatulitumii kutengenezea umeme mpaka tuharibu vyanzo vyetu vingine vya kiuchumi kwa kujenga hilo Stigler's gorge? Huwa inaniumiza sana kuona backup ya umeme kwenye taasisi nyingi ni majenereta yanayotumia mafuta mengi badala ya kuweka solar pannels.
Naishauri serikali iangalie potentiality ya fursa zote za kuzalisha umeme kabla ya kuanza kuchimba huko Seleou.
Kama umeme wa gesi tulioaminishwa tutauza nje haujatosheleza ndani,je,tuamini wa Stigler's gorge utatosheleza au ni kudanganyana tu!
Umeme na Maliasili ?Hii serikali ni yake... muacheni afanye awezavyo..
Noma ni kuwa Katibu Mkuu maliasili ndo amepewa jukumu la kuhakikisha mradi unatekelezeka..!
Try to persuade us by clearly showing us the negative impact of this project on the said game reserve. Otherwise, you remain nothing but a disposable heckler.Serikali ipo mbioni kujenga chanzo kikubwa cha kuzalisha umeme ndani ya Hifadhi ya Seleou.Ni kwamba 1/3 ya eneo lote litatumika.Naunga mkono serikali kujiamulia namna nzuri ya kujiletea maendeleo kwa kutumia rasilimali zake bila kuingiliwa na wazungu.Tanzania ya "viwanda" bila shaka inahitaji umeme zaidi.Hofu yangu ni;
1.Environmental Impact Assessment ilifanyika siku nyingi,1980's.Hatujambiwa kama kuna ecological na economical divergences zilizotokea kwa kipindi hichi kirefu.
2.Tuliaminishwa kuwa ungunduzi wa gasi asilia ungetatua matatizo yote ya umeme nchini na tungeuza ziada nje.Sijui nini kimetokea mpaka tuanze kutaka kutafuta reserve zingine ambazo labda zina athari za ki ecologia na kimazingira.
3.Tuliambiwa nchi ina mkondo wa upepo huko Singida ambao ungeweza kuzalisha umeme mwingi,na kazi ni kuweka tu mitambo ya kubadilisha nishati moja kwenda nyingine.Hatuambiwi huu upepo unaleta faida gani kiasi kwamba tuendelee "kuufuga" bila kuutumia.
4.Jua linawaka sana Tanzania,kwanini hatulitumii kutengenezea umeme mpaka tuharibu vyanzo vyetu vingine vya kiuchumi kwa kujenga hilo Stigler's gorge? Huwa inaniumiza sana kuona backup ya umeme kwenye taasisi nyingi ni majenereta yanayotumia mafuta mengi badala ya kuweka solar pannels.
Naishauri serikali iangalie potentiality ya fursa zote za kuzalisha umeme kabla ya kuanza kuchimba huko Seleou.
Kama umeme wa gesi tulioaminishwa tutauza nje haujatosheleza ndani,je,tuamini wa Stigler's gorge utatosheleza au ni kudanganyana tu!
Tangu zamani WB ilikuwa inazuia uwekezaji kwenye hep na tanesco kuzalisha umeme moja kwa moja badala yake ikishauri umeme kuzalishwa na matapeli. Ndio godfather wa pan africa energy, richmond, iptl, aggreko, nk. Ukiwasikiliza hao jamaa nchi inakwisha
Hujui kuwa H.E.P stations ni moja ya emitters wakubwa wa C02? Japo kwangu sioni kuwa kutoa C02 ni tatizo maana ni insignificant kwetu na ndio,refer Kyoto protocol.
Swala ni wapi gesi,wapi upepo,wapi makaa ya mawe,wapi solar power!!!Kuhusu 1/3 ya eneo kutumika usipinge bila kuwa na labda mabadiliko ya leo,otherwise eneo lililotengwa ndio hilo,1/3 ya eneo zima la hifadhi.
Mkuu, 1/3 sio 0.33% bali ni 33%.Mkuu hii uliyoweka wewe ndio inaingia akilini na sio ile 1/3 ni eneo kubwa sana ukizingatia ukubwa wa selous!!!
1/3=0.333..
3%=3/100=0.03 hapo unaweza kuona tofauti kubwa kimahesabu. Mleta mada nahisi kakosea kunukuu hiyo namba.