Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,770
- 1,173
Matayarisho ya kesho ni lazima yafanywe Leo kwa mbinu na nguvu zote ili Kesho inapofika tuwe tayari kwa mapambano, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi aliliona hilo tangu awali alipokuwa akijinadi kugombea kiti cha Urais Zanzibar na ndipo hivi leo akawekeza katika Elimu kwa kujenga shule za Ghorofa zenye hadhi.
@jlkzanzibar #janaleokesho #jlkzanzibar #janaleonakesho #miakamiwili #miakamiwiliyaraisdkmwinyiView attachment 2416648
@jlkzanzibar #janaleokesho #jlkzanzibar #janaleonakesho #miakamiwili #miakamiwiliyaraisdkmwinyiView attachment 2416648