M MENGELENI KWETU JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 9,557 Reaction score 24,182 Jul 5, 2018 #1 Habari Comrades, Naomba wale wenye updates za wapi ujenzi wa SGR umefikia kwa hivi sasa watuonyeshe maana hizi ni pesa zetu walipa kodi wa Nchi hii. Hii ni kwa segments zote za Dar-Moro, Moro-Dodoma/Makutopora na kuendelea. Asante.
Habari Comrades, Naomba wale wenye updates za wapi ujenzi wa SGR umefikia kwa hivi sasa watuonyeshe maana hizi ni pesa zetu walipa kodi wa Nchi hii. Hii ni kwa segments zote za Dar-Moro, Moro-Dodoma/Makutopora na kuendelea. Asante.
RUKUKU BOY JF-Expert Member Joined Sep 8, 2015 Posts 1,588 Reaction score 1,859 Jul 5, 2018 #2 mbona SGR updates kwenye Kenya forum kila kitu kipo wazi lakini pia nenda youtube subscribe RELI TV yaani kuna updates zote utajionea mwenyewe
mbona SGR updates kwenye Kenya forum kila kitu kipo wazi lakini pia nenda youtube subscribe RELI TV yaani kuna updates zote utajionea mwenyewe
Bill JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 10,703 Reaction score 11,812 Sep 6, 2018 #3 Na hii hapa
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,766 Reaction score 50,859 Dec 5, 2018 #4 MENGELENI KWETU said: Habari Comrades, Naomba wale wenye updates za wapi ujenzi wa SGR umefikia kwa hivi sasa watuonyeshe maana hizi ni pesa zetu walipa kodi wa Nchi hii. Hii ni kwa segments zote za Dar-Moro, Moro-Dodoma/Makutopora na kuendelea. Asante. Click to expand... Nimesikia kuna lita 500 za mafuta zimekamatwa zikiwa zimeibwa kwenye kambi ya ujenzi wa SGR Ngerengere Morogoro
MENGELENI KWETU said: Habari Comrades, Naomba wale wenye updates za wapi ujenzi wa SGR umefikia kwa hivi sasa watuonyeshe maana hizi ni pesa zetu walipa kodi wa Nchi hii. Hii ni kwa segments zote za Dar-Moro, Moro-Dodoma/Makutopora na kuendelea. Asante. Click to expand... Nimesikia kuna lita 500 za mafuta zimekamatwa zikiwa zimeibwa kwenye kambi ya ujenzi wa SGR Ngerengere Morogoro