K kahembe JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 317 Reaction score 400 Jun 13, 2025 #1 Hivi ujenzi wa SGR MWANZA TO DODOMA uliishia wapi maana Kimya kimekuwa kingi hatusikii majigambo ya miradi yote inaendelea. Pia soma ~ Serikali yaanza kulipa Tsh. 3.66 Bilioni kwa wananchi 2,471 wa mikoa ya Simiyu, Mwanza, Shinyanga na Tabora wanaopisha SGR
Hivi ujenzi wa SGR MWANZA TO DODOMA uliishia wapi maana Kimya kimekuwa kingi hatusikii majigambo ya miradi yote inaendelea. Pia soma ~ Serikali yaanza kulipa Tsh. 3.66 Bilioni kwa wananchi 2,471 wa mikoa ya Simiyu, Mwanza, Shinyanga na Tabora wanaopisha SGR
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,179 Reaction score 6,360 Jun 13, 2025 #2 Majibu tafadhali.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,617 Reaction score 103,487 Jun 13, 2025 #3 kahembe said: Hivi ujenzi wa SGR MWANZA TO DODOMA uliishia wapi maana Kimya kimekuwa kingi hatusikii majigambo ya miradi yote inaendelea... Click to expand... TUNAJENGA KWANZA KIZIMKAZI
kahembe said: Hivi ujenzi wa SGR MWANZA TO DODOMA uliishia wapi maana Kimya kimekuwa kingi hatusikii majigambo ya miradi yote inaendelea... Click to expand... TUNAJENGA KWANZA KIZIMKAZI
Expensive life JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 4,061 Reaction score 12,922 Jun 13, 2025 #4 Subiri kwanza tukope tirion zingine
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 24,416 Reaction score 29,960 Jun 13, 2025 #5 kahembe said: Hivi ujenzi wa SGR MWANZA TO DODOMA uliishia wapi maana Kimya kimekuwa kingi hatusikii majigambo ya miradi yote inaendelea. Click to expand... Mbona umebakiza mita chache tu, hivi sasa unaelekea Burundi.
kahembe said: Hivi ujenzi wa SGR MWANZA TO DODOMA uliishia wapi maana Kimya kimekuwa kingi hatusikii majigambo ya miradi yote inaendelea. Click to expand... Mbona umebakiza mita chache tu, hivi sasa unaelekea Burundi.
The Wolf JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,468 Reaction score 20,877 Jun 13, 2025 #6 Miradi inaendelea, hela zinalipwa
HOLY BLINDFOLD JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 3,690 Reaction score 6,380 Jun 13, 2025 #7 Tulia Mtanganyika...Ujenzi Wa Reli Si Sawa Na Ujenzi Wa Banda La Uani....
B benfica2010 Member Joined Mar 5, 2025 Posts 64 Reaction score 73 Jun 13, 2025 #8 kahembe said: Hivi ujenzi wa SGR MWANZA TO DODOMA uliishia wapi maana Kimya kimekuwa kingi hatusikii majigambo ya miradi yote inaendelea. Click to expand... Nasikia kuna chama cha upinzani kimekopeshwa hela, baada ya uchaguz kitaturudishia, na maisha yatenda km kawaida.
kahembe said: Hivi ujenzi wa SGR MWANZA TO DODOMA uliishia wapi maana Kimya kimekuwa kingi hatusikii majigambo ya miradi yote inaendelea. Click to expand... Nasikia kuna chama cha upinzani kimekopeshwa hela, baada ya uchaguz kitaturudishia, na maisha yatenda km kawaida.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,946 Reaction score 1,252,160 Jun 14, 2025 #9 Inashangaza sana