David kagenzi
Member
- Nov 20, 2023
- 11
- 14
Jamani naomba kuuliza kuhusu ujenzi wa plant ya madini ya dhahabu inaweza kugarimu shilling ngapi hasa kwa kiwanda cha kati au hata kikubwa.
Kiwanda cha kat almost million 300 mkuu kikubwa watafte Acacia wakupe consultation. Ila kwa kuanzia hata million 15 inawez fanya jamboJamani naomba kuuliza kuhusu ujenzi wa plant ya madini ya dhahabu inaweza kugarimu shilling ngapu hasa kwa kiwanda cha kati au hata kikubwa.
Kwa maelezo ya kawaida tu hivi ni viwanda vidogo vidogo ambayo huwa vinatumika katika uchejuaji wa madini hasa dhahabu hasa ukiwa na mzingo ama lundo kubwa la mchanga kama fuso 30, hivyo plant inatumika kuvuna dhahabu inayopatikana kwenye huo mchanga kwa kutumia process ya cyanide na madawa mengine, hyo ni kifupi tu mkuu japo ni elimu Pana KiasiFafanua kidogo...
Kiwanda cha Dhahabu kinafanyaje?
Unaweka mchanga wanasafisha au?
Je kama mnayo hiyo plant napataje huo mchanga?Kwa maelezo ya kawaida tu hivi ni viwanda vidogo vidogo ambayo huwa vinatumika katika uchejuaji wa madini hasa dhahabu hasa ukiwa na mzingo ama lundo kubwa la mchanga kama fuso 30, hivyo plant inatumika kuvuna dhahabu inayopatikana kwenye huo mchanga kwa kutumia process ya cyanide na madawa mengine, hyo ni kifupi tu mkuu japo ni elimu Pana Kiasi
Mkuu Suala la plant ni kama vile wewe uwe na kiwanda Cha kuchejua madini na kazi Yako wewe unakodisha kwa watu wenye huo mchanga, lundo au makinikia ko we unakuwa unafanya biashara na wao kwa kukodisha kwa watu, na inategemeana na kazi mara nyingi huwa ni wiki mbili mpaka mwezi, mchanga unapatikana kwa kuchimba duarani na ile dhahabu inayopatikana baada ya process yote huwa ni kwao siyo yako maaana wewe unakuwa umeisha lipwa hela yako ya kukodisha plant yako, kwako wanaleta mchanga kwa ajili ya kuchenjua tuu baada ya kuuchimbaJe kama mnayo hiyo plant napataje huo mchanga?
Au ndo wanaochimba wanakuja kuleta?mnagawana vipi hiyo Dhahabu?
Kifupi ipo hv ukiwa na plant, lazima Uwe na mtaji wa kuiendeshea ili upate makinikia kwa urahisi na haraka tofauti na apo utaikimbia au kuibinafsishaJe kama mnayo hiyo plant napataje huo mchanga?
Au ndo wanaochimba wanakuja kuleta?mnagawana vipi hiyo Dhahabu?
Kwanini uikimbie?Kifupi ipo hv ukiwa na plant, lazima Uwe na mtaji wa kuiendeshea ili upate makinikia kwa urahisi na haraka tofauti na apo utaikimbia au kuibinafsisha
ukifanikiwa mkemia nipo hapoJamani naomba kuuliza kuhusu ujenzi wa plant ya madini ya dhahabu inaweza kugarimu shilling ngapi hasa kwa kiwanda cha kati au hata kikubwa.
Kwa sababu huna hela(mtaji) ya kuwapa watu wa kukusanyia lundo,na ukizingatia faida ako ni riba ya hela ulizowapa,Kodi ya kuwakodishia plant wakati wa kuozesha na kapi.Kwanini uikimbie?
Mtaji kama kiasi gani unatosha ?Kwa sababu huna hela(mtaji) ya kuwapa watu wa kukusanyia lundo,na ukizingatia faida ako ni riba ya hela ulizowapa,Kodi ya kuwakodishia plant wakati wa kuozesha na kapi.
Nakazia siyo tu ujenge plant uwe pia na MTAJi tofauti na apo utakua umejenga majengo ya kujikingia mvua wachunga ng'ombe.
Siyo mbaya ukianza ht na million 500Mtaji kama kiasi gani unatosha ?