Ujenzi wa Nyumba ya vyumba viwili

Ujenzi wa Nyumba ya vyumba viwili

Bajeti yangu Ni tsh 7milion, wazoefu wa Nyumba rahisi, naomba ushauri is it possible?
Chukua eneo la nyumba yako yaani jumla ya eneo lote la nyumba yako zidisha Mara laki Saba ndio itatosha. Mana kwa iyo 7m inatakiwa eneo lako jumla ya eneo katika meta za eneo ziwe kuanzia 10-14 ,Mana huwa eneo moja la mita za eneo moja gharama Ni 500k -700k kwa makadirio so ukichukua hela yako Hawa kwa 500/700 unapata eneo la nyumba yako linatakiwa liwe minimum 10 meta za eneo mpaka 14 meta za eneo mkuu ndio gharama ya ujenzi iliyopo. Huku Ni numbers tu and numbers don't lie
 
Mim pia nahitaji kujenga slopu ya muda tu, ila pia iwe na vyumba vitatu vya kulala na sebule. Ni kama hiyo namba 7. Milion 5 itatosha?
Chukua chumba eneo lake ama eneo la nyumba yote zidisha kuanzia 500k -700k ndio gharama ya meta moja za eneo katika nyumba yako. So Kama una 28M divide by 700k so utapata square metre around 280/7 =56 meta za eneo hii eneo Ni kubwa mno hata tembo na twiga wanaishi mia
 
Jitahidi uongeze mzee walau ufike 15m hapo unaweza ukaezeka, ukabaki zoezi la Finishing, Madirisha na Milango
kabisa kabisa ila cha muhimu kuanza kujenga au kukusanya vifaa ... Mzaye aendelea kupambana kuongeza pesa ajenge nyumba bora na siyo bora nyumba.
 
Back
Top Bottom