Ujenzi wa nyumba: Budget ya Tsh 22,500,000/=

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,605
2,743
Hello quick thinkers na valuators wa JF, nina budget ya Tsh 22.5 million, kiwanja kipo tayari na mazingira ya ujenzi ni mkoa wa Mara.

Je, kwa budget hiyo katika ujenzi wa mwanzo, fence hadi finishing..., je naweza kujenga nyumba ya ukubwa gani, vyumba vingapi, kiwango gani, etc?
 
Hello quick thinkers na valuators wa JF, nina budget ya Tsh 22.5 million, kiwanja kipo tayari na mazingira ya ujenzi ni mkoa wa Mara.

Je, kwa budget hiyo katika ujenzi wa mwanzo, fence hadi finishing..., je naweza kujenga nyumba ya ukubwa gani, vyumba vingapi, kiwango gani, etc..??
Tafoutisha kujenga nyumba ya aina gani?

Residential (ya middle class bussiness class or working class)

House (kama ya watumishi kama waalimu police nurses wastaafu nk)

Shelter (kama za wa kulima madereva singo maza nk.)

Changua level yako nikupe mtaalamu akuonyeshe ramani zinazo endana na pesa hiyo.
 
Mimi bila garama za kiwanja, nimetumia 23M, Nyumba ya vyumba vitatu, Sitting room na jiko. (Morogoro). Nimeshapiga Bati, Milango na Madirisha.

Bado silling board, Tiles na Rangi tu.
Hongera mkuu, so finishing inaweza ikakukanyaga shingapi mkuu.
 
Tafoutisha kujenga nyumba ya aina gani?

Residential (ya middle class bussiness class or working class)....
 
Hongera mkuu, so finishing inaweza ikakukanyaga shingapi mkuu.
Ujenzi wa Nyumba Fedha nyingi zinahitajika hapo kwenye finishing. Pia Msingi na Mashimo ya choo. Kunyanyua ujenzi wala hakuna garama.

Gharama za ujenzi inategemea sana na Mkoa uliopo au Ramani ya Nyumba unayoitaka na kiwanja kipoje ( Kipo tambalale kuweza kupata level ya ujenzi?)
 
Pamoja mkuu
 
Hello quick thinkers na valuators wa JF, nina budget ya Tsh 22.5 million, kiwanja kipo tayari na mazingira ya ujenzi ni mkoa wa Mara.

Je, kwa budget hiyo katika ujenzi wa mwanzo, fence hadi finishing..., je naweza kujenga nyumba ya ukubwa gani, vyumba vingapi, kiwango gani, etc..??
Umechukua mkopo benki gani! Haitoshi kabisa hiyo..utajenga hadi kupaua, na kuweka milango na grill za madirisha...then utasubiri tena mkopo mwingine
 
Unatumia Tofali za aina gan

Unatumia msingi wa mawe

Kama block zitahitajika 4500
Kama Tofali za kuchoma 10,000

Fundi wa kujenga 1800,000

Nondo 35 bei inategemea mahal ulipo

Bati badle 8

Cement mifuko 50
Mbao mchanganyiko wastan wa 2500,000

Mbao kwaajili ya renta 200,000

Misumar ya bati kg 50

Misumari ya nch3 kg 50

Misumari nch 4 na 5 kg 50

Fundi wa kupaua 1500,000

Hapo unaweka na usafiri wa kupeleka saiti

Hii ni kwa husani ya Fundi MAIKO
 
Mimi bila garama za kiwanja, nimetumia 23M, Nyumba ya vyumba vitatu, Sitting room, Dinning room na jiko. (Morogoro). Nimeshapiga Bati, Milango na Madirisha.

Bado silling board, Tiles, Rangi na Fensi.
Hiyo baba weka kaumi tena ndio umalizie wakati mjanja same amount anapata na kibanda cha kukodisha kwa 50 per month ukiwa smart mpaka laki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom