Mgetoa na maelezo kidogoNi sawa ndio....Jenga tu
Inategemea, kama kiwanja chako kina mteremko mkali, basi ni muhimu sana kuweka nguzo hasa upande wa nyumba ambao upo chini ili kuongeza uimara wa msingi.Habari zenu jf members
Naomba kuuliza...hivi kujenga msingi wa nyumba bila kuweka nguzo kwenye kona ya nyumba ni sawa?
Nyumba sio ghorofa.