jiwe la maji
JF-Expert Member
- May 17, 2014
- 1,062
- 705
Wakuu kweli Mwanza tumeachwa mbali sana na dar kimaendele na ninazani tuko miaka 20 nyuma kimaendeleo kwa Dar eti leo hii Mwanza ndio ujenzi unaendelea wa kujenga ghorofa refu kuliko yote hapa litakua na ghorofa 16 toka usawa wa ardhi NSSF capripoint