Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,479
- 24,348
Nimepita Leo Buguruni na kuyaona maandalizi ya ujenzi wa daraja la ghorofa la wapita kwa miguu ukiendelea!, swali langu je ujenzi huu hautakuja kusababisha taharuki mara baada ya ujenzi wa flyover kuanza?
Hofu yangu ni HASARA YA UVUNJAJI INAYOWEZA KUTOKEA NDANI YA MUDA MFUPI.
Hofu yangu ni HASARA YA UVUNJAJI INAYOWEZA KUTOKEA NDANI YA MUDA MFUPI.