BABU CHONDO
JF-Expert Member
- Jun 6, 2011
- 855
- 139
Ni kero baada ya kero..sijui kwanini hawajengi usiku..wanajenga baada ya muda wanabomoa...wanavunja wanaacha vumbi wanaondoka...kiukweli watumiaji wa morogoro rd ni kero sio kidogo...
hawa watakuwa wamekuja mjini morogoro road iko four lanes,ally hassan mwinyi[new bagamoyo/upanga road] iko four lanes,kawawa[morocco road] iko four lanes,hio morogoro road wakati inawekwa lami na MECCO[hio ni kabla KAJIMA hawajaitanua kuwa four lanes] miaka hio ilifungwa kabisa watu wakawa wanazunguka kigogo kule itakuwa leo strabag wanajenga huku mnapita......maana yangu ni kuwa hawakuwahi kuona major road construction....hakuna mtu anaweza kujenga barabara ukubwa huo wa project kama DART system halafu isilete usumbufu....huko kwenye alternative routes wakijenga wanapata shida je sisi ambao njia kuu mjini ni tatu kweli usumbufu usiwepo??!!sasa mnatakaje,kama hamtaki usumbufu ina maana msijengewe barabara......
Mbona wanafanya kazi usiku na mchana ila maendeleo ni gharama na hizo ndio moja ya gharama zenyewe.
Ni kero baada ya kero..sijui kwanini hawajengi usiku..wanajenga baada ya muda wanabomoa...wanavunja wanaacha vumbi wanaondoka...kiukweli watumiaji wa morogoro rd ni kero sio kidogo...
Hairuhusiwi ukitokea njia yeyote isipokuwa Kigamboni tu. Pia maeneo ya Posta hutakiwi kuvaa viatu
usije mjini ....
Wewe lazima utakuwa ni mwanasiasa.... Huo usiku STRABAG huwa wanawafanyia kazi chumbani kwenu? siku wakiwa wanamwaga zege ndio night once kwa mwezi maybe... Kampuni Ovyo sana na kwa ujinga waliongia nao mkataba ndio utawapoteza milele kupata kazi na Utawala mwingine... watajuta ya mjukuu Uchungu wanaopata wananchi utalipiwa tu.... wajue hukumu ni hapa hapa Duniani... Sisi wenye madaladala wametuharibia sana hesabu na wananchi wanateseka... nibora waweke vituo kwanza...
Nyie wote hamjui mnachokisema. Mnadhani miundombinu huwa inajiumba.
Kwa taarifa yenu hao jamaa wanajitahidi kupita maelezo. Ingekuwa wachina wenu hali ingekuwa mbaya sana.
Kumbuka hao jamaa hawajapewa provision ya kuweka njia mchepuko (diversion). yaani wajenge humo, watu wapite humo humo, magari, pikipiki..n.k. Ni kazi kubwa sana kwa sisi tunaojua.
Kama mnataka msipate usumbufu basi ilazimisheni serikali ibomoe nyumba ambazo Magufuli alipigwa stop kuzibomoa, humo ndimo mulimotakiwa kupita njia mchepuko ili kule kati kazi iendelee bila usumbufu.
Na kwa taarifa yenu, hiyo kazi inatakiwa kukabidhiwa mid 2015. Hadi sasa jamaa wamshamaliza zaidi ya 60% ya kazi na muda uliotumika ni takribani nusu ya muda wote unaotakiwa. Kwa hiyo wanafanya vizuri sana.
Tatizo la watanzania wengi ni kujifanya wataaluma wa kila kitu, na kufuata mkumbo bila kujua mambo kiundani.
hawa watakuwa wamekuja mjini morogoro road iko four lanes,ally hassan mwinyi[new bagamoyo/upanga road] iko four lanes,kawawa[morocco road] iko four lanes,hio morogoro road wakati inawekwa lami na MECCO[hio ni kabla KAJIMA hawajaitanua kuwa four lanes] miaka hio ilifungwa kabisa watu wakawa wanazunguka kigogo kule itakuwa leo strabag wanajenga huku mnapita......maana yangu ni kuwa hawakuwahi kuona major road construction....hakuna mtu anaweza kujenga barabara ukubwa huo wa project kama DART system halafu isilete usumbufu....huko kwenye alternative routes wakijenga wanapata shida je sisi ambao njia kuu mjini ni tatu kweli usumbufu usiwepo??!!sasa mnatakaje,kama hamtaki usumbufu ina maana msijengewe barabara......
hapo wanafanya barabara ya majaribio wanajenga wanabomoa hapajakaa vizuri bomoa basi kero tupu
Waambie hawa akina Lord K, hata wakati wa kuhamia UBT walimwona BWM kuwa ni msumbufu. Maendeleo siyo kama uyoga eti mvua inyeshe leo na uyoga upate kesho.hawa watakuwa wamekuja mjini morogoro road iko four lanes,ally hassan mwinyi[new bagamoyo/upanga road] iko four lanes,kawawa[morocco road] iko four lanes,hio morogoro road wakati inawekwa lami na MECCO[hio ni kabla KAJIMA hawajaitanua kuwa four lanes] miaka hio ilifungwa kabisa watu wakawa wanazunguka kigogo kule itakuwa leo strabag wanajenga huku mnapita......maana yangu ni kuwa hawakuwahi kuona major road construction....hakuna mtu anaweza kujenga barabara ukubwa huo wa project kama DART system halafu isilete usumbufu....huko kwenye alternative routes wakijenga wanapata shida je sisi ambao njia kuu mjini ni tatu kweli usumbufu usiwepo??!!sasa mnatakaje,kama hamtaki usumbufu ina maana msijengewe barabara......