Ni kero baada ya kero..sijui kwanini hawajengi usiku..wanajenga baada ya muda wanabomoa...wanavunja wanaacha vumbi wanaondoka...kiukweli watumiaji wa morogoro rd ni kero sio kidogo...
Dar hakuna usiku wala mchana wote sawa tu. Kama unaona kero hamia Mikoani ujenzi ukiisha unarudi. Tunalalamika barabara zikijengwa mnaanza kulalamika mavumbi. Ili maendeleo yapatikane lazima wengine waumie au wapate kero kama wewe
msaada tafadhali .. maeneo ya posta kule hali ikoje. sijaenda mda na nina mpango wa kwenda karibuni.
bibi titi pakoje? au ukitokea uhuru road unaweza kuingia mjini kwa njia ya bibi titi?

katika barabara ya morogoro road wapo , leo nimeingia dar katika mizunguko yangu imebidi nitembee kwa miguu badala ya gari , ingawa changamoto ni una sweat sana maaana unapoteza muda mwingi bila sababubarabara za kasi ndio barabara za aina gani
msaada tafadhali .. maeneo ya posta kule hali ikoje. sijaenda mda na nina mpango wa kwenda karibuni.
bibi titi pakoje? au ukitokea uhuru road unaweza kuingia mjini kwa njia ya bibi titi?
Mkuu Cleverly heshima yako! Umenkumbusha enzi za MECCO miaka ya '80s wakijenga pale jangwani na viloba vya kifusi, wakati huo barabara inafungwa mwezi! Halafu masika inayofuata vinabomoka.hawa watakuwa wamekuja mjini morogoro road iko four lanes,ally hassan mwinyi[new bagamoyo/upanga road] iko four lanes,kawawa[morocco road] iko four lanes,hio morogoro road wakati inawekwa lami na MECCO[hio ni kabla KAJIMA hawajaitanua kuwa four lanes] miaka hio ilifungwa kabisa watu wakawa wanazunguka kigogo kule itakuwa leo strabag wanajenga huku mnapita......maana yangu ni kuwa hawakuwahi kuona major road construction....hakuna mtu anaweza kujenga barabara ukubwa huo wa project kama DART system halafu isilete usumbufu....huko kwenye alternative routes wakijenga wanapata shida je sisi ambao njia kuu mjini ni tatu kweli usumbufu usiwepo??!!sasa mnatakaje,kama hamtaki usumbufu ina maana msijengewe barabara......
Mkuu Cleverly heshima yako! Umenkumbusha enzi za MECCO miaka ya '80s wakijenga pale jangwani na viloba vya kifusi, wakati huo barabara inafungwa mwezi! Halafu masika inayofuata vinabomoka.