Ujenzi wa barabara ya Morogoro: Contractor ni third class

 

nakubaliana na wewe hii kampuni iliagiza magari na vifaa vilizuiliwa bandarini kwa takribari miezi mitatu ujenzi ukachelewa kuanza nadhani kuna watanzania mafisadi yanayorubuni huu mradi ili kampuni ionekane imeshindwa wachukue wao na ninahisi mmojawapo atakuwa anawania kuwa raisi wa nchi
 


unawezakuta zimepelekwa kwenye chaguzi au zitatumika kwenye uchaguzi ujao kwani epa si inasemekana zilichukuliwa kwa ajili ya uchaguzi
 

Hamna kitu hapo, niliona juzi kwenye taarifa ya habari ITV wafanyakazi wanalalamika hawana buti, gloves,mazingira ya kazi ni magum, mshahara kiduchu sizan kama ni serious company
 
Hamna kitu hapo, niliona juzi kwenye taarifa ya habari ITV wafanyakazi wanalalamika hawana buti, gloves,mazingira ya kazi ni magum, mshahara kiduchu sizan kama ni serious company

Pia inabidi Hawa wanaohusika na ajira za Kipindi kifupi na CRB (Contractors Registration Board) waweze Kuwabana Hawa Jamaa ili safety Gears ziweze Heshimika na labors wote wapewe Mikataba!! Wizara ya Kazi pia Inahusika!!
 
Pia Ijulikane Hii Kazi Imetengewa Billions of Money kwa ajili ya Traffic Diversions Ila naona Hizo Hela wameziona ni kama

sadaka tu!! I hope is Over 20billions for Traffic Diversions sasa Hizi hela kwa nini wanalipwa na Kazi Hiyo Hawafanyi??
Mkuu umesema uzuri kwa kweli sijui kwanini wanafanya hivi kuna kazi zingine zingefanywa usiku zingeondoa kabisa foleni

zisizo za lazima lakini wenyewe wanafanya mchana nakusababisha foleni kubwa kwelikweli zinazoepukika.

Sasa hapo kwenye traffic Diversions jamani sijui hawa wasimamizi wetu wanagawana nao pesa,angalau huyu wa

morogoro road japokuwa vinjia vyake havikizi haja amejitahidi kuvitengeneza wa Mbagala sasa yaani anachofanya ni

kudivert magari tu yatatengeneza njia yenyewe barabara imejaa vumbi,mashimo haimwagiliwa maji basi hata kutoa hilo

vumbi yaaani hadi barabara inaisha kuna gari zitakuwa tayari juu ya mawe kutokana na hizo diversions road.

hebu wahusika jamani mfanye kazi hata vitu kama hivi inashindikana kuvisimamia halafu mwisho wa siku ooooh barabara

iko chini ya kiwango wakati wanajenga mlikuwa wapi wakati watu wanakosa hata diversions roads.Pumbaaaaaaf...
 
Huyo contractor unayemponda ni mmoja kati ya bora kabisa tanzania na ukitaka kufahamu ukweli huo fanya utafiti wa kazi alizokwisha fanya hapa tz. hata hivyo utendaji wake ikiwamo ubomoaji ni kwa kuzingatia workplan aliyowakilisha serikalini na kukubaliwa na wenye barabara. contractor wa aina hii hawafanyikazi hovyo hovyo bila mpangilio
 
Sasa naona watu wanawakubali kiaina ingawa wapondaji bado wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…