Ujenzi wa barabara Jwangwani

Ujenzi wa barabara Jwangwani

Sappire

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2024
Posts
5,422
Reaction score
13,457
Huu ujenzi unaoendelea hapo je hawataki kujifunza makosa waliyoyafanya hapo mwanzo?JWANGWANI Kila mwaka mafuriko na ilipendekezwa kujengwe daraja la juu kutokea magomeni mapipa Hadi jeshi la zimamoto lakini wamepuuza Kwa kujenga barabara ya chini ambayo Kila mwaka inazidiwa na mafuriko.

Au Kwa kuwa walipa Kodi ni MATAJIRI sana ndiyo maana hawaoni uchungu wa Kodi?
 
Maandalizi tu hayo kaka. Hapo ni daraja ndo linajengwa
 
Huu ujenzi unaoendelea hapo je hawataki kujifunza makosa waliyoyafanya hapo mwanzo?JWANGWANI Kila mwaka mafuriko na ilipendekezwa kujengwe daraja la juu kutokea magomeni mapipa Hadi jeshi la zimamoto lakini wamepuuza Kwa kujenga barabara ya chini ambayo Kila mwaka inazidiwa na mafuriko.

Au Kwa kuwa walipa Kodi ni MATAJIRI sana ndiyo maana hawaoni uchungu wa Kodi?
Naona ufahamu vitu vingi kuhusu ujenzi wa hapo Jangwani ungefanya kwanza hata utafiti kiduchu usingekuja na huu uzi.
 
Ila chadema aisee, dah! Mungu awasaidie sana. Kwa huyu Mama mmeshachemka tayari kitambo tu........kajipangeni upya.
 
Huu ujenzi unaoendelea hapo je hawataki kujifunza makosa waliyoyafanya hapo mwanzo?JWANGWANI Kila mwaka mafuriko na ilipendekezwa kujengwe daraja la juu kutokea magomeni mapipa Hadi jeshi la zimamoto lakini wamepuuza Kwa kujenga barabara ya chini ambayo Kila mwaka inazidiwa na mafuriko.

Au Kwa kuwa walipa Kodi ni MATAJIRI sana ndiyo maana hawaoni uchungu wa Kodi?
Linajengwa daraja.. Njia ya sasa inayotengenezwa ni ya muda wakati ujenzi wa daraja utakapokuwa unaendelea
 
Naona ufahamu vitu vingi kuhusu ujenzi wa hapo Jangwani ungefanya kwanza hata utafiti kiduchu usingekuja na huu uzi.
NI kweli siku Fanya utafiti wa kina Bali nimefanya utafiti Kwa kuangalia Kwa macho

Hapo nimekuelewa.
 
Hiki kituo cha mwendokasi hakina kazi tena naona kimebomolewa chote kufanya kitu bila plan ni hasara Tu
 
NA kile kituo hakikuwa na tija yeyote maana hakuna makazi ya watu pale zaidi ya Ile karakana ya mabasi ya mwendokasi ambayo ilizidiwa na mafuriko.pale mtu atashuka kwenda wapi?
 
Jamaa waliahindwa kutambua kuwa pale jangwani hakuna makazi ya watu? Ni bonge la hasara sanaa
 
Ujenzi Dar hautaisha kwa sababu....tukiumaliza huo ujenzi wa hapa pale Ofisi nyingi na Biashara nyingi zisizoeleweka zitafungwa!( Sijui Nawaza vitu gani)
 
Linajengwa daraja.. Njia ya sasa inayotengenezwa ni ya muda wakati ujenzi wa daraja utakapokuwa unaendelea
NI kweli siku Fanya utafiti wa kina Bali nimefanya utafiti Kwa kuangalia Kwa macho

Hapo nimekuelewa.
Naona ufahamu vitu vingi kuhusu ujenzi wa hapo Jangwani ungefanya kwanza hata utafiti kiduchu usingekuja na huu uzi.
======
Hata walipokuwa wanajenga Kigongo Busisi walijenga Temporary daraja kwanza kwa ajili ya kupitisha materials ,kwa haraka haraka ungeweza kusema mbona daraja la kawaida halina quality.
 
Back
Top Bottom