Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,188
- 9,165
Pongezi Serikali Ya awamu ya tano chini ya Rais Magufuli Kwa Kutoa Tsh Bilioni 9 kugharamia Ujenzi huo
Wanarudi walewale waliotolewa hapo familia 644 watakaabure miaka mitanoSerikali tiyari imeanza kupokea maombi kwa wanaohitaji kupangisha ama kununua
Hamna cha bure ile ni biashara mkuu. serikali imeweka pesa zake pale inatakiwa irudiwanarudi walewale waliotolewa hapo familia 644 watakaabure miaka mitano

baada ya miaka mitano wataanza kulipa kodiHamna cha bure ile ni biashara mkuu. serikali imeweka pesa zake pale inatakiwa irudi![]()