Ujenzi ni rahisi ukitumia wataalamu

Ujenzi ni rahisi ukitumia wataalamu

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
604
Reaction score
1,238
Karibu napenda kukutia moyo ujenzi sio mgumu .Kama ukikutana na wataalamu sahihi wasio na tamaa wenye utu na wenye ujuzi wa kutosha
Nakukaribisha
Tunaandaa Ramani, TunaJenga , Tunapaua na kujenga Mashimo ya choo yasiyo jaa.

⭕Tuna design Ramani zinazo jitosheleza na za kisasa zenye unafuu wa bajeti kwenye ujenzi

⭕Ujenzi Nafuu, Bora na unaokidhi mahitaji ya mteja

⭕Pia tuna PAUA paa za Aina zote na majengo yote, na tunaweka water proof membrane kwenye HIDDEN ROOF ili isivuje siku zote za maisha ya bati lako

⭕ Tunafanya Finishing na Decorations zote nzuri, zakupendeza na zakisasa lwenye nyimba na majengo yote

⭕ Tunatoa ushauri wa Designs na mpangilio wa nyumba, ramani na makazi Bure.

⭕Tunajenga mashimo ya choo( Chemba) yasiyojaa.



*Piga simu no. 0743257669
 
Back
Top Bottom