Ujenzi na finishing za majumba

Ujenzi na finishing za majumba

frabel

Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
96
Reaction score
60
Habari wadau.

Leo katika mwendelezo wa kuangazia masomo na mijadala ihusuyo nyumba na ujenzi,

Leo tutaangazia mahusiano ya mfumo wa umeme hatua 1 na lipu/plasta.

Yapo mahusiano makubwa kati ya plasta na mfumo wa umeme.
Katika mahusiano hayo kuna uwezekano fundi akaharibu mwonekano wa nyumba yako.

Kumbuka finishing/umaliziaji wa nyumba ndio nyumba yenyewe.

Kwa kutambua hilo, UVIMO tumeona vema leo 26/9/2021 kuanzia saa mbili usiku tutaangazia mahusiano haya na nini cha kufanya ili kupata plasta safi na uwekaji wa mfumo wa umeme bora.

Kumbuka ubora wa jambo huanzia katika ufahamu wako au wa yule anaye simama badala yako

Yote yatajadiliwa katika group la wasap UVIMO PUBLIC CENTER

Au njoo inbox
+255753927572
uunganishwe na watanzania wengine,
Pia mtumie mwenzako ili anaufaike na hili.
[emoji1431][emoji1431][emoji1431] sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom